boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Aya mambo sio kabisa ya kufurahia kinachofuata wataichukua Kigoma ndo mtastuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeenda kwao uholanzi kujenga nchi,hapo kwa zulu natal watu walikua na mifumo yao ya governance"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Mji ambao haujapangwa ni dar tu,dar penyewe sehemu kama temeke kuna mipangilio mzuri tuMji umepangwa Hadi Raha.Nadhani waswahili tofauti na kukata mauno sidhani kama Kuna kiti kingine Cha maana tunaweza.
Col mamadou ndala alikua akiwachapa viboko kuwarudisha msitari wa mbele,m23 hawakutoboa,wakubwa fardc wakamuuaHalafu wanajeshi wa Congo ni waoga wepesi wepesi kinoma kidogo tu wamekimbia ndio maana wanawafanya ushenzi km wangekua ngumu kumeza basi mpaka sasa wangekua tayari wameshamaliza huo upuuzi wa hao wakuda
MaaviiAya mambo sio kabisa ya kufurahia kinachofuata wataichukua Kigoma ndo mtastuka
Kaw Hali hiyo huwezi kuwa na jeshi.Jeshi la Kongo hata mshahara huwa hawauoni na mara nyingine wakipokea wanapokea nusu Majenerali wanaupiga juu kwa juu.
Halafu huwezi kuwa na Jeshi ambalo linasema Watutsi sio raia wa Kongo.Kaw Hali hiyo huwezi kuwa na jeshi.
Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.
Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.
Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.
My Take
Mwenyekiti wa EAC William Ruto ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi na kutaka Paul Kagame & Felix Tchisekedi Wahudhurie Iko kutafuta suluhisho.
M23 Watangaze Nchi kabisa au laa Waiteke Kinshasa maana wanaweza kuleta usalama kuliko hao wapuuzi wengine wa DRC 👇👇Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.
Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.
Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.
My Take
Mwenyekiti wa EAC William Ruto ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi na kutaka Paul Kagame & Felix Tchisekedi Wahudhurie Iko kutafuta suluhisho.
Sahihi kabisa. Kiasili kabisa eneo lenye migogoro ilikuwa sehemu ya tawala za machief wa Kinyerwanda kabla ya kuganywa na kupelekwa chini ya Himaya ya Mbelgiji huku sehemu nyingine ikiangukia Kwa Mjerumani.Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere alishaongelea kwa uwazi huu mgogoro kwamba Watutsi wa Kongo ni Wakongo hiwezi kuwavua uraia kwa kutegemea mipaka iliyochorwa na Wakoloni.
Balozi wetu aliyeko Kigali aende Gisenyi kuwashughulikia Watanzania waliokwama huko Goma.