Video: Huu Ndio Mji wa Goma Unaodaiwa Kutekwa na M23

Video: Huu Ndio Mji wa Goma Unaodaiwa Kutekwa na M23

Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.

Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.

Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.


My Take
M23 jitangazieni Nchi huru huko Kivu Ili amani irudi maana hao wakata mauno wa DR Congo Wameshindwa kujitawala.

Tena na Waasi wengine wachukue North Kivu Ili ziwe Nchi huru na Maendeleo yaje.

Pamoja na vita ila ukitoa Dar hakuna Mji wa kusogelea Goma Kwa hapa Tanzania aisee ni Mji mzuri kabisa.
 
Sasa s mnasema kazi ya jeshi ni uzalendo tena leo mnataka mishahara
Jamaa wanatupa silaha chini kisha wanakimbia wengine wanavua gwanda za jeshi kabisa wanavaa kiraia ili wasitambulike km wanajeshi na kujichanganya na raia camera zimewanasa sasa wanatafutwa wahukumiwe jeshini ukiwa vitani ukarudi nyuma wenzio wanaenda mbele unapigwa risasi hadi ufe wewe msaliti
 
Back
Top Bottom