ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yote haya ni kwasababu ya tumbo na heshima
Hapa Tanzania wenye akili ni sisi wa Nyanda za Juu Kusini na Wazanzibar except wewe chawa.Rwanda ni ndogo kama nchi ya Zanzibar Lakini makini sana kama Wapemba 🐼
Waafrica ni watumwa wa wazungu ndio maana wanuana wao kwa wao ili kuwachotea wazungu madini na maliasili muhimu.Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.
Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.
Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala haeleweki wanadai kulinda amani huko wanalinda kitu.
View: https://www.instagram.com/reel/DEz7ZqZNhSW/?igsh=MWNzaTl5azFrZTd0NQ==
My Take
Mwenyekiti wa EAC William Ruto ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi na kutaka Paul Kagame & Felix Tchisekedi Wahudhurie Iko kutafuta suluhisho.
View: https://www.instagram.com/reel/DFULlvuhBgx/?igsh=M2ZyeTc2cGNwZmJp
View: https://www.instagram.com/p/DFUCcmlt7Km/?igsh=MWU3bm52NDFyeGdudg==
Nilikuwa najua Goma ni Mji mdogo kumbe ni Jiji kubwa zaidi ya Mwanza,Kuna watu zaidi ya 2mln.Yote haya ni kwasababu ya tumbo na heshima
Nyie mnatawaliwa na Wanyakyusa 😄Hapa Tanzania wenye akili ni sisi wa Nyanda za Juu Kusini na Wazanzibar except wewe chawa.
M23 wakifanikiwa kuuteka huu Mji wajitangazie Nchi kabisa,Congo Wameshindwa kujitawala na tumechoka kusikia vifo vya raia Kila sikuWaafrica ni watumwa wa wazungu ndio maana wanuana wao kwa wao ili kuwachotea wazungu madini na maliasili muhimu.
Ni kweli, wana utajiri mkubwa wa madini na wanaongea Kiswahili, hata Rais wao wakati ule Kabila alikuwa akienda huko anawahutubia kwa KiswahiliNilikuwa najua Goma ni Mji mdogo kumbe ni Jiji kubwa zaidi ya Mwanza,Kuna watu zaidi ya 2mln.
M23 wakifaulu kuuteka huu Mji wajitangazie Nchi,DRC WameshindwaNi kweli, wana utajiri mkubwa wa madini na wanaongea Kiswahili, hata Rais wao wakati ule Kabila alikuwa akienda huko anawahutubia kwa Kiswahili
M23 wakifanikiwa kuuteka huu Mji wajitangazie Nchi kabisa,Congo Wameshindwa kujitawala na tumechoka kusikia vifo vya raia Kila siku
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.Goma ikiwa chini ya M23, na huo ukanda wote wa mashariki ukiwa chini yao utulivu utakuwepo.
Hilo eneo DRC waliachie liwe chini ya hao wababe kama Taifa lao na ndugu zao wa Rwanda, wao DRC wajikite maeneo mengine kule Katanga, Kinshasa, Kisangani nk.
Goma ni mji mkubwa sana, ni mji ambao una mzunguko mkubwa sana pia wa hela.
Tz nayo kubwa mnaweza kuwapa uganda, Kagera. Rwanda nayo mkaipa maeneo ya Ngara, Kigoma nayo mkawapa Burundi.Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.
Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.
Itakuwa faida Kwa Tanzania.
Akili hawana haoTz nayo kubwa mnaweza kuwapa uganda, Kagera. Rwanda nayo mkaipa maeneo ya Ngara, Kigoma nayo mkawapa Burundi.
Tena na wengine wajichukulie Kivu Kusini,Kisangani Ili DRC ibakie na maeneo ambayo wanayamudu.
Nchi zikiwa nyingi na ndogo ndogo zinatawalika na Maendeleo yanakuja haraka.
Itakuwa faida Kwa Tanzania.
Tanzania sio kubwa ndio maana inatawalika huwezi sikia upuuzi wa waaasi TanzaniaTz nayo kubwa mnaweza kuwapa uganda, Kagera. Rwanda nayo mkaipa maeneo ya Ngara, Kigoma nayo mkawapa Burundi.