Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti "

Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika...

Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
 
Mlidhani udikteta ndo ubaya...oneni mnakoipeleka nchi?

Watatengeneza nyusi na kope, waseme za kiume....baada ya Mitume, Yesu, anafuata Chura kiziwi......kila la kheri watu weusi.
 
Back
Top Bottom