Video: Huu wimbo anaocheza Haj manara unaitwaje niupakue

Video: Huu wimbo anaocheza Haj manara unaitwaje niupakue

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Kama nilivyouliza jaman , nahtaj kujua jina la huu wimbo , naupenda nataka niupakue
 
Kuna Mzee mmoja ni mwanajeshi mstaafu nimemuuliza umestaafu lini akajibu nimestaafu 2009 aisee yaani utafikiri kijana wa leo jamani tufanye mazoezi
 
Jaman nipeni jibu wakuu
 
Wakuu hawapo wapenda taarab humu, au mmeamua kuvunga
 
Kuna Mzee mmoja ni mwanajeshi mstaafu nimemuuliza umestaafu lini akajibu nimestaafu 2009 aisee yaani utafikiri kijana wa leo jamani tufanye mazoezi
Kuna wengine wanastahafu mapema kwa kuwa walitumia vyeti vya watu wengine waliokuwa wamewazidi umri kuajiriwa. Nimeshaona kesi ya jamaa kustahafu mapema kabla ya umri wake wa ukweli. Hiyo ndiyo inaitwa vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom