video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina leo ka post picha nyingine hizi hapa za mbunge tegemeo wa ccm bwana kasheku msukuma ambaye kwa mujibu wake yeye akiwa star tv siku moja alisema ni mkuu wa wachawi kanda ya ziwa.
ccm oyeee,ccm mpya oyeeee.
 
Anatunisha mikono na kamwili kimbaumbau hahaha. Aende gym kwanza akate hicho kitambi alafu ale sana protein kujenga misuli. Huyo hata ajifukize vipi na kimwili cha hivyo korona ikipita naye hachomoki.

Vijana wa kitanzania ingieni gym acheni uvivu. Miili ya design hii ni aibu, mtu akipita na kifua kimejaa vizuri, mgongo huo na six pack safi mke wako habaki salama. Vitu vingine watu mnajitakia wenyewe tu, matambitambi ovyo
 


🤣🤣🤣🤣kwaza tsht na shirt huwa znakaa poa balaa ukiwa na mwili na wamazoezi jamani🤣🤣! Mama kitambia baba kitambi lahaulaa!
 

Gym bila pesa utaishia kua bouncer nightclubs.
 
Gym bila pesa utaishia kua bouncer nightclubs.
Endeleeni kujidanganya, kuna njia nyingi za kufanya mazoezi nyingine unaweza tumia uzito wako wa mwili ukajenga mwili safi kabisa ambao mmekaa kuuona kwenye tv tu mnahisi miili ya models kumbe nyie wenyewe ndo wavivu tu. Fuatilia kuhusu calisthenics uone, mazoezi mengi mno bila kifaa cha gym hata kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…