remest1
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 183
- 95
ngoja nibaki na kazi ya utafiti😅😅! Wanasemaga mkuu mie sina hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nibaki na kazi ya utafiti😅😅! Wanasemaga mkuu mie sina hakika
Msukuma bwana yaani badala ya kwenda kununua paving blocks yeye amepigisha mwenyewe halafu ni bilionea!!
Daaaah sasa wanaotengeneza paving wakale wapi kama mabilionea wakifanya hivyo?Nafikri ndiyo maana bilionea anaendelea kuwa bilionea maana kwao wanathamini hata shilingi 100 tu, angenunua lazima aliye muuzia kaweka na faida yake hapo, basi yeye kaona bora hio faida abaki nayo