video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

Msukuma bwana yaani badala ya kwenda kununua paving blocks yeye amepigisha mwenyewe halafu ni bilionea!!

Nafikri ndiyo maana bilionea anaendelea kuwa bilionea maana kwao wanathamini hata shilingi 100 tu, angenunua lazima aliye muuzia kaweka na faida yake hapo, basi yeye kaona bora hio faida abaki nayo
 
Daaaah sasa wanaotengeneza paving wakale wapi kama mabilionea wakifanya hivyo?
 
Back
Top Bottom