video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

Acha gubu la kijinga wewe, hiyo ni behavioural compensative tendency, unashindwa kufanikiwa katika nyanja nyingine za maisha basi unaamua ufidie kwa kutunisha misuli
 
Bora angetushauri tufanye mazoezi ili kujikinga na maradhi...hii ya kufanya mazoezi ili wanawake wetu wasichepuke halina mashiko...maana kama mwanamke wako anapenda six pack basi hata six pack wenzio watamchukua...wanawake huwa hawajulikani wanapenda nini hasa....ila wengi wanapenda pesa kwanza vingine vinafuata badae.
 
Eti mbunge pia tajili wa ma bus ya king msikuma mwanza ushirombo via lunzewe hatarii
 
Mkomao huyo, anaweza kukuchakaza vibaya na 6 pack zako...
 
Hakuna cha kujifunza hapo.
Kipo wapi hivi unadhani watu kukaa ndani bila kufanya kazi ni jambo dogo.
Si huyo hapo kaondoa lock down.
Aendelee na lock down tumuone..
Kama hajafirisika.
Akili ni nywele, jaribu kufikiri upya kuna mahala utaelewa na kujifunza kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gym bongo.......wadada wanaangalia salio we tunisha misuli tu kama salio halisomi unagongewa tu
 
Acha gubu la kijinga wewe, hiyo ni behavioural compensative tendency, unashindwa kufanikiwa katika nyanja nyingine za maisha basi unaamua ufidie kwa kutunisha misuli
Naona unanifuatilia kwenye kila thread, we jamaa ni nyoko. Kaa fanya yako nimefanikiwa kuliko ukoo wenu mzima badala ya wivu ya kijinga kaa utafute yako mwenyewe stupid. Nimekublock usijisumbue tena kujibu chochote sitokua naviona. I don’t have time to deal with stupid poor people wasio na direction yoyote ya maisha. Go f yourself
 
Mkomao huyo, anaweza kukuchakaza vibaya na 6 pack zako...
Miili ya shuruba hio hapo unaweza rusha ngumi ukadhani umepiga ukuta.......hawa wa gym wengi mayaiyai tu hadi mashoga nao wanavimbisha miili huko gym......mwanaume ni pesa na kupiga mashine tu kujazia miili labda kama unataka kua baunsa club
 
Msukuma bwana yaani badala ya kwenda kununua paving blocks yeye amepigisha mwenyewe halafu ni bilionea!!
 
Umeona sasa, jibu hoja kwa hoja, unaexpress behavioural compensative tendency hata katika lugha yako, nikufuatilie we nani kwani, hii ID ndio kwanza naiona leo as far as my memory is concerned..
 
Kwani huwezi kuwa na mitikasi na mazoezi ukawa unafanya pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…