VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Ualimu.. Ualimu ..Ualimu...😞😞😞

Ifike mwisho.
Hizi ni aibu.

Na huu ni UPUMBAVU.

I'LL BE BACK
 
Yupo pale kwaniaba, pia ni kiongozi wa ulinzi na usalama hivyo ata raia unahamishwa...!
 
Kam hizo barua ni halali waka report ndio kanuni zlvyo then adai chake ndio aanze kaz, uwez kugomea UHAMISHO bila ku report
Nakal kwa m/mkuu🙂🙃
 
Hapo malipo yatakuwa kamzozo,wanaleta ubabe.Kazi kuonea vidagaa tu.
 
Kam hizo barua ni halali waka report ndio kanuni zlvyo then adai chake ndio aanze kaz, uwez kugomea UHAMISHO bila ku report
Nakal kwa m/mkuu
 
Diwan wa hyo kata aliyohamishwa mwl nae anakaz mwl asitoke
 
Maswala kiutumish hayapaswi yaguswe moja kwa moja na mwanasiasa yaweza kuwa kanuni za kiutumish zngne zmelukwa
 
Back
Top Bottom