VIDEO: Huyu ni bibi wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,430
Reaction score
1,637
Your browser is not able to display this video.

Haya ni maneno ya bibi kizee wa Miaka 72 wewe mwenye miaka 22 unawezaje kupinga ukweli huu?

Ukimsikiliza vizuri huyu bibi utabaini mambo mengi yaliyojifichwa kwa muda mrefu ambayo hayasemwi Kwa sauti ya juu.

Mpaka inafiki bibi kizee wa Miaka 72 anasema hajawahi kuona mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya sita,

Mbaya zaidi Yuko kijijini what if akifika mjini?

Msikilize Kwa makini mpaka Mwisho halafu sema kwanini OKTOBA tusitiki kama mpaka wazee wa Miaka ya 1953 wanamkubali Rais Samia?

Ni kweli, tunaweza kubishana kuhusu mambo mengi kwenye Taifa hili ila ni ngumu kubishana kuhusu kazi nzuri zinazofanywa na Rais Samia Suluhu na Shaka Hamdu Shaka kama msaidizi wake katika Wilaya ya Kilosa.

Tuwe wa kweli,

Mnyonge mnyongeni ila haki yake Mpeni Samia Kafanya kazi kubwa.
 
Mnajivunia umasikini wa Watanzania mtazame hali yake huyo Bibi.
 
Bibi wa mchongo.........script imeandaliwa na kupewa bibi wa kizalamo..........kanaongea bila vituo...............NRNE
 
Unakuta wamempa bibi 10k, khanga na vlraba za 5k. Mna laana nyie.
 
Serikali iliyovunja record ya kufanya uhalifu na ufisadi wa kutisha isifiwe hadi vijijini ? Hamidu Shaka anahusika na akaunti nyingi za propaganda mitandaoni ku boost utawala wa bi tozo ambaye ni binamu yake.. mmeona mabango na machawa wameshindwa kumuumbia sifa mmehamia kwa vizee kufawanyia promosheni ? mmeshindwa kuipiku rekodi ya mfu Magu anayeimbwa kila siku huko vijijini na karibu asilimia 70 ya watanzania wanaomiliki simu hukosi ciip ya hotuba za Magu..
 
Mama mzee kama huyo kuwa chawa ni aibu ,udini unamsumbua tu huyo kobaz wa kike.
 
Natamani siku ya kupigakura iwe kesho
 
Wote mtasema ila kwangu Mheshimiwa Samia ni 100 kwa 100.
Najua what's she has done to me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…