njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu
Hata kumuangalia usoni Magori unaona aibu, hivi unamfanyia mtu interview hata kumuangalia usoni unaogopa? Eti uko bize na simu unapewa maelekezo na msomali au?
Mbona Tunu na jemedari ni Yanga hawana mambo ya kijuha kama yako? Jiheshimu basi, halafu na nyie Simba punguzeni kutoa exclusive interviews kwa Efm, kwani hamna media nyingine?