Video: Huyu ni mtangazaji mwenye chuki kali kwa Simba. Simba punguzeni shobo kwa Efm

Video: Huyu ni mtangazaji mwenye chuki kali kwa Simba. Simba punguzeni shobo kwa Efm

Naona mmerithi rasmi ule upuuzi wa yule msemaji wenu mliye mfukuza! Kila siku ni kulia lia tu dhidi ya watangazaji/wachambuzi wa michezo!

Mbaya zaidi hicho mnacho lilia chenyewe, hakieleweki!! Zaidi tu mnaendekeza ushabiki maandazi na umbumbumbu!
 
Radio nyingi sasa hivi haziwapendi Simba nafikili Bongo ndio nchi ambayo ukitaka upate maadui uwe na mafanikio
Hoja yako ni dhaifu ma imekaa kihisia zaidi! Huna ushahidi wowote ule, zaidi tu ya kuziamini hekaya za Abunuwasi Hajji Manara!

Huo upendo mnao utaka kutoka kwenye hizo redio, ni upendo wa aina gani? Hebu weka mifano hapa tuone!! Yaani mnacho kililia hata hakieleweki!! Kiasi mnashangaza kwa kweli.
 
Amejichanganya katika lipi mkuu?
Taarifa (kimaandishi) haikueleza Luis ameenda timu gani. watu wakauliza.

Msemaji wa Timu akatoa barua ya agent/manager wa Louis akimuhitaji mchezaji wake bila kusema ataenda wapi. msemaji akaitumia barua hiyo kuonyesha kuwa Simba hawajui ataenda wapi.

magori amesema Louis atalipwa na timu yake mpya mshahara mara nane ya Simba.

Amejuaje?Ni timu gani hiyo?

Mbona huyu anasema officially hawajui na huyu anasema wanjua?
 
Magori ndio Chawa wa MO. Siku MO akitimuliwa Simba, Magori automatically ata fagiwa na yeye.
We ni mjinga nani wakumtimua Mo ,Watanzania njaa imekula ubongo hatuelewi kabisa.
 
hivi mwanaume unakuwaje vile.
Akapimwe marinda
FB_IMG_1629179437509.jpg
 
Taarifa (kimaandishi) haikueleza Luis ameenda timu gani. watu wakauliza.
Msemaji wa Timu akatoa barua ya agent/manager wa Louis akimuhitaji mchezaji wake bila kusema ataenda wapi. msemaji akaitumia barua hiyo kuonyesha kuwa Simba hawajui ataenda wapi.
magori amesema Louis atalipwa na timu yake mpya mshahara mara nane ya Simba.
Amejuaje?Ni timu gani hiyo?
mbona huyu anasema officially hawajui na huyu anasema wanjua?
Nadhani wewe ndio hujawaelewa hao watatu (Kamwaga, meneja wa Luis na Magori).

Ukweli ni kwamba Simba wanajua Luis anaenda wapi.
Wakala au meneja wa Luis anajua mchezaji wake anaenda klabu gani.
Kamwaga na Magori wanajua Luis anaenda wapi.

Lakini hao wote hawataki kuitaja hiyo klabu kwa sababu watakua wameingilia haki ya klabu hiyo kumtambulisha mchezaji wao exclusively.

Mamlaka juu ya kumtambulisha mchezaji amepewa mwenye mali (klabu anayoenda Luis). Watamtambulisha watakapoona wao kwamba inafaa.

Kusema kwamba Luis atapewa mshahara mkubwa sidhani kama ni kuitaja klabu anayokwenda.

Kusema kwamba Luis ataenda klabu kubwa barani Afrika sidhani kama ni kuitaja klabu anayokwenda.

Labda wewe unionyeshe mkanganyiko unauona wapi katika hili (with respect to kuitaja klabu anayokwenda Luis).
 
Kamwaga alivyoiweka wazi barua ya meneja/agent wa Louis alisema hawajui kwa sababu meneja wake alimtaka bila kueleza anamtaka aende wapi.

Hiyo siyo kweli, ni uwongo.

Pia meneja hawezi kumtaka tu mchezaji, eti aseme tunamuhitaji, halafu Simba waseme sawa.
Magori yeye si msemaji wa Simba, kwa hiyo alisema anajua mshahara wake, meaning anajua nini kilichomfanya Louis aondoke. Huwezi eti kujua mshahara tu, lazima utajua na timu. Sisemi kuwa ametaja, ila ametofautiana na msemaji wa timu ambayo ndiyo kauli ya timu (kwamba hatufahamu).
Hatufahamu ni t
ofauti na tunafahamu ila hatuna mamlaka hiyo, mtajua pindi timu yake mpya itakapomtaja.
Hii inaitwa professionalism na inaondoa tetesi na maswali kutoka kwa waandishi.
Openness, kwani kuwa muwazi ni kosa?
 
We ni mjinga nani wakumtimua Mo ,Watanzania njaa imekula ubongo hatuelewi kabisa.
Inategemea umri ulionao katika kushuhudiamatukio katika mpira wa Tanzania. Katika soka la Bongo siku moja inatosha kufukuzwa kwenye timu Tena kwa kupigwa makofi hadharani aijalishi wewe ni mkubwa au unapesa kiasi gani.
 
Kamwaga alivyoiweka wazi barua ya meneja/agent wa Louis alisema hawajui kwa sababu meneja wake alimtaka bila kueleza anamtaka aende wapi.

Hiyo siyo kweli, ni uwongo.

Pia meneja hawezi kumtaka tu mchezaji, eti aseme tunamuhitaji, halafu Simba waseme sawa.
Magori yeye si msemaji wa Simba, kwa hiyo alisema anajua mshahara wake, meaning anajua nini kilichomfanya Louis aondoke. Huwezi eti kujua mshahara tu, lazima utajua na timu. Sisemi kuwa ametaja, ila ametofautiana na msemaji wa timu ambayo ndiyo kauli ya timu (kwamba hatufahamu).
Hatufahamu ni t
ofauti na tunafahamu ila hatuna mamlaka hiyo, mtajua pindi timu yake mpya itakapomtaja.
Hii inaitwa professionalism na inaondoa tetesi na maswali kutoka kwa waandishi.
Openness, kwani kuwa muwazi ni kosa?
Mkuu, kuna sehemu yoyote ile SIMBA, KAMWAGA au MAGORI wamesema HAWAFAHAMU Miquessone anaenda wapi ?

Kama una audio, video au hata document yoyote yenye kuonyesha hilo naomba ulete hapa.
Nimefuatilia sana habari za Simba sijaliona wala kulisikia hili suala la KUTOKUFAHAMU.

NB: Mjadala huu tuendelee nao endapo tu wote tunajua kwamba neno SIFAHAMU lina maana tofauti na neno SIWEZI KUSEMA.

Kuwa muwazi sio kosa hata kidogo, lakini kuwa muwazi haimaanishi ndio unaruhusiwa kusema kile ambacho anatakiwa kusema mwingine.
 
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu

Hata kumuangalia usoni Magori unaona aibu, hivi unamfanyia mtu interview hata kumuangalia usoni unaogopa? Eti uko bize na simu unapewa maelekezo na msomali au?

Mbona Tunu na jemedari ni Yanga hawana mambo ya kijuha kama yako? Jiheshimu basi, halafu na nyie Simba punguzeni kutoa exclusive interviews kwa Efm, kwani hamna media nyingine?

Wahi kituo cha afya unahiribikwa

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom