njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
we ni mr takataka au una "uhusiano" naye? piga kimya kabisaUna matatizo gani?
Interviews zote za magori huwa zinaenda vizuri wakati mr takataka alipohamia wachafu karudi ujinga unaanza ndiyo maana Magori alikuwa anamjibu shortcut sababu anajua ana deal na lichimviMagori ameongea pumba tu, na huwa hapendi kuulizwa maswali. Huwa anaongea dakika mbili nzima, ukimkatisha anamind...
Basi ndiyo hivyo, kwa watu makini leo amejichanganya na msemaji wake. Au yeye ndiyo msemaji wa Simba?interviews zote za magori huwa zinaenda vizuri wakati mr takataka alipohamia wachafu karudi ujinga unaanza ndiyo maana magori alikuwa anamjibu shortcut sababu anajua ana deal na lichimvi
Amejichanganya katika lipi mkuu?Basi ndiyo hivyo, kwa watu makini leo amejichanganya na msemaji wake. Au yeye ndiyo msemaji wa Simba?
ni yanga lialia kabisaNani alikuambia Tunu Hassani Shenkome ni Yanga??
Sasa wewe hapa umeandika pumba zaidi, au kwa kuwa umeweka comment ndefu ndiyo unaona point. Utopolo bwanaMagori ameongea pumba tu, na huwa hapendi kuulizwa maswali. Huwa anaongea dakika mbili nzima, ukimkatisha anamind.
Hapo mtangazaji angevaa earpiece ili producer awe anawasiliana nae kusu sound quality, maswali na updates. Kwa hapa wanatumia sana cell phones, ndiyo washazoea...
kosa kubwa la simba ni kufanya vizuri miaka 4 mfululizo , hadi sasa imekuwa ya 12 kwa ubora afrika, kinachofanyika kwa sasa ni syndicate ya watu wengi sana wanaotumia hela nyingi kuwahonga matakataka yanayojiita watangazji na wandishi kuivuruga simba kwa kila haliRadio nyingi sasa hivi haziwapendi Simba nafikili Bongo ndio nchi ambayo ukitaka upate maadui uwe na mafanikio
Halafu Cha ajabu hawa hawa waandishi wa habari mpira ukishuka nchini mwetu ndio watu wa Kwanza kuanza kuleta maneno wakati wao Kwa kukosa uweledi ndio wanachangia kupolomoka Kwa soka nchinikosa kubwa la simba ni kufanya vizuri miaka 4 mfululizo , hadi sasa imekuwa ya 12 kwa ubora afrika, kinachofanyika kwa sasa ni syndicate ya watu wengi sana wanaotumia hela nyingi kuwahonga matakataka yanayojiita watangazji na wandishi kuivuruga simba kwa kila hali
Ni hatari sana kufanikiwa kisoka nchi hii ni kosa kubwa sana urudishwe nyuma
kaanza yeye tutamaliza sisi siyo mimi tu bro TUNA CHUKI NAYE KWELIKWELI NA TUNACHUKIA ILE MICHEZO MICHAFU INAYOFANYIKA KWENYE ZILE SAFARIUKIONA UNAMSHUKU MTU KWA LOLOTE BASI JUA HILO ULILOMSHUKU NALO NDILO ULILO NALO PIA JUU YAKE, NAHISI WEWE UNA CHUKI NA UYO MTANGAZAJI NDO MAANA UKAMSHUKU YAKUWA ANA CHUKI NA SIMBA YAKO, SO NAKUSHAURI KITOE KWANZA KIBANZI KILICHOPO MACHONI PAKO NDIPO UIONE BORITI ILIOKO KATIKA JICHO LA MWENZAKO.
Isijekuwa Kaa bongo movie ilivyopolomokaHalafu Cha ajabu hawa hawa waandishi wa habari mpira ukishuka nchini mwetu ndio watu wa Kwanza kuanza kuleta maneno wakati wao Kwa kukosa uweledi ndio wanachangia kupolomoka Kwa soka nchini