Hoja yako ni dhaifu ma imekaa kihisia zaidi! Huna ushahidi wowote ule, zaidi tu ya kuziamini hekaya za Abunuwasi Hajji Manara!Radio nyingi sasa hivi haziwapendi Simba nafikili Bongo ndio nchi ambayo ukitaka upate maadui uwe na mafanikio
Taarifa (kimaandishi) haikueleza Luis ameenda timu gani. watu wakauliza.Amejichanganya katika lipi mkuu?
Huwezi kuelewa, kamasi zimezidi.sasa wewe hapa umeandika pumba zaidi,au kwa kuwa umeweka comment ndefu ndiyo unaona point.Utopolo bwana
Magori ndio Chawa wa MO. Siku MO akitimuliwa Simba, Magori automatically ata fagiwa na yeye.Magori ndiye nani hapo Queens?
We ni mjinga nani wakumtimua Mo ,Watanzania njaa imekula ubongo hatuelewi kabisa.Magori ndio Chawa wa MO. Siku MO akitimuliwa Simba, Magori automatically ata fagiwa na yeye.
Punguza shobo bob, utapelekewa ‘Moto’.Hili kabachori la simba lituachie timu yetu
Akapimwe marindahivi mwanaume unakuwaje vile.
Nadhani wewe ndio hujawaelewa hao watatu (Kamwaga, meneja wa Luis na Magori).Taarifa (kimaandishi) haikueleza Luis ameenda timu gani. watu wakauliza.
Msemaji wa Timu akatoa barua ya agent/manager wa Louis akimuhitaji mchezaji wake bila kusema ataenda wapi. msemaji akaitumia barua hiyo kuonyesha kuwa Simba hawajui ataenda wapi.
magori amesema Louis atalipwa na timu yake mpya mshahara mara nane ya Simba.
Amejuaje?Ni timu gani hiyo?
mbona huyu anasema officially hawajui na huyu anasema wanjua?
Kamwaga alivyoiweka wazi barua ya meneja/agent wa Louis alisema hawajui kwa sababu meneja wake alimtaka bila kueleza anamtaka aende wapi.Nadhani wewe ndio hujawaelewa hao watatu (Kamwaga, meneja wa Luis na Magori).
Ukweli ni kwamba Simba wanajua Luis anaenda wapi.
Wakala au meneja wa Luis anajua mchezaji wake anaenda klabu gani.
Kamwaga na Magori wanajua Luis anaenda wapi.
Lakini hao wote hawataki kuitaja hiyo klabu kwa sababu watakua wameingilia haki ya klabu hiyo kumtambulisha mchezaji wao exclusively.
Mamlaka juu ya kumtambulisha mchezaji amepewa mwenye mali (klabu anayoenda Luis). Watamtambulisha watakapoona wao kwamba inafaa.
Kusema kwamba Luis atapewa mshahara mkubwa sidhani kama ni kuitaja klabu anayokwenda.
Kusema kwamba Luis ataenda klabu kubwa barani Afrika sidhani kama ni kuitaja klabu anayokwenda.
Labda wewe unionyeshe mkanganyiko unauona wapi katika hili (with respect to kuitaja klabu anayokwenda Luis).
Inategemea umri ulionao katika kushuhudiamatukio katika mpira wa Tanzania. Katika soka la Bongo siku moja inatosha kufukuzwa kwenye timu Tena kwa kupigwa makofi hadharani aijalishi wewe ni mkubwa au unapesa kiasi gani.We ni mjinga nani wakumtimua Mo ,Watanzania njaa imekula ubongo hatuelewi kabisa.
Tunu ni simba yuleNani alikuambia Tunu Hassani Shenkome ni Yanga?
Mkuu, kuna sehemu yoyote ile SIMBA, KAMWAGA au MAGORI wamesema HAWAFAHAMU Miquessone anaenda wapi ?Kamwaga alivyoiweka wazi barua ya meneja/agent wa Louis alisema hawajui kwa sababu meneja wake alimtaka bila kueleza anamtaka aende wapi.
Hiyo siyo kweli, ni uwongo.
Pia meneja hawezi kumtaka tu mchezaji, eti aseme tunamuhitaji, halafu Simba waseme sawa.
Magori yeye si msemaji wa Simba, kwa hiyo alisema anajua mshahara wake, meaning anajua nini kilichomfanya Louis aondoke. Huwezi eti kujua mshahara tu, lazima utajua na timu. Sisemi kuwa ametaja, ila ametofautiana na msemaji wa timu ambayo ndiyo kauli ya timu (kwamba hatufahamu).
Hatufahamu ni t
ofauti na tunafahamu ila hatuna mamlaka hiyo, mtajua pindi timu yake mpya itakapomtaja.
Hii inaitwa professionalism na inaondoa tetesi na maswali kutoka kwa waandishi.
Openness, kwani kuwa muwazi ni kosa?
Wahi kituo cha afya unahiribikwaBrother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu
Hata kumuangalia usoni Magori unaona aibu, hivi unamfanyia mtu interview hata kumuangalia usoni unaogopa? Eti uko bize na simu unapewa maelekezo na msomali au?
Mbona Tunu na jemedari ni Yanga hawana mambo ya kijuha kama yako? Jiheshimu basi, halafu na nyie Simba punguzeni kutoa exclusive interviews kwa Efm, kwani hamna media nyingine?
Unamaanisha zile safari zake za kubeba unga wa donakaanza yeye tutamaliza sisi siyo mimi tu bro TUNA CHUKI NAYE KWELIKWELI NA TUNACHUKIA ILE MICHEZO MICHAFU INAYOFANYIKA KWENYE ZILE SAFARI
Mbumbumbu fc in Ismail Rage voiceSasa wewe hapa umeandika pumba zaidi, au kwa kuwa umeweka comment ndefu ndiyo unaona point. Utopolo bwana