VIDEO: Idris Sultan afanya vimbwanga Jukwaani

VIDEO: Idris Sultan afanya vimbwanga Jukwaani

Hata haichekeshi...Boooooo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Navosikia haikuwa nyumba yake alipewa na mwarabu flani iv akute anakaa so asa iv haishi humo tena ashahama

Post sent using JamiiForums mobile app
Mwarabu alimkabidhi kwa makubaliano maalum Sio?
 
  • Thanks
Reactions: smy
Dogo alihangaika Na midude ya mijini imemfilisi anadanga Na komedi za kiingilio 2,000/=
 
Watu wengi wana akili ndogo sana. Ukipata hela ndo unalala hufanyi kazi kuongeza kipato?
 
Umri nao unachangia, unakuwa ufikilii future Pia hela ilimkuta bila Mipango na alikuwa katoka kwenye shida na hakuwai kuzishika sijui alikuwa mchagga wa wapi huyu

iPhone 6s
 
Umri nao unachangia, unakuwa ufikilii future Pia hela ilimkuta bila Mipango na alikuwa katoka kwenye shida na hakuwai kuzishika sijui alikuwa mchagga wa wapi huyu

iPhone 6s
Sidhani kama huyo Boya ni MCHAGGA hilo kabila hata ikitokea anapenda chini demu hataambulia pesa kindezi ndezi. Kwa pesa ile angekuwa mchagga angeshakuwa na nyumba za kupangisha mitaa ya kimara na fremu za maduka ya spea pale MSIMBAZI. Huyo jamaa nahisi atakuwa mtu wa TANGA ila huko ARUSHA wamehamia tu
 
Back
Top Bottom