Mmmh ayo makubiliano siyajuiMwarabu alimkabidhi kwa makubaliano maalum Sio?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabisa uki relate bwana CKUtamu wa Wema haukuwahi kumuacha mtu salama
Post sent using JamiiForums mobile app
Sidhani kama huyo Boya ni MCHAGGA hilo kabila hata ikitokea anapenda chini demu hataambulia pesa kindezi ndezi. Kwa pesa ile angekuwa mchagga angeshakuwa na nyumba za kupangisha mitaa ya kimara na fremu za maduka ya spea pale MSIMBAZI. Huyo jamaa nahisi atakuwa mtu wa TANGA ila huko ARUSHA wamehamia tuUmri nao unachangia, unakuwa ufikilii future Pia hela ilimkuta bila Mipango na alikuwa katoka kwenye shida na hakuwai kuzishika sijui alikuwa mchagga wa wapi huyu
iPhone 6s
Kivipi ndugu? Hebu fafanua vizuriNasikia wanamtafuna huyu dogo