Video: Idris Sultan amkacha Wema Sepetu kweupee!

huyu wema mbona kawa hivyo ata wanaosema anatumia madawa inawezekana ikawa kweli
nimewaza pia!
ngada ngada tu!
hata kama la brazil sijui wapi kitu paaap!
video haina edit hiyo,imetoka clear kabisa!
 
nimewaza pia!
ngada ngada tu!
hata kama la brazil sijui wapi kitu paaap!
video haina edit hiyo,imetoka clear kabisa!
acha tu ngada kitu kingine na anayemmaliza kumpa ngada ni yule anaejiita tajiri wa roho
 
I hate this talking style, nyambafuuu....mzungu si mzungu,si mchina....eti kiswahili hajui vizuri......sauti mbayaaa
 
huyu bibi ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…