Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
ule ni dawa .......... labda atapona maradhi ya kugawa papuche kwa kila mtu atafute jani la tarime ndo kali zaidiNasikia anakula mjani siku hizi, a.k.a mmea wa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ule ni dawa .......... labda atapona maradhi ya kugawa papuche kwa kila mtu atafute jani la tarime ndo kali zaidiNasikia anakula mjani siku hizi, a.k.a mmea wa taifa
Hahahawanayaita et madawa ya kulevya
kila siku miaka yake inasimama apo apo kwenye 27 haiongezekagi [emoji16]Hahaha
Hilo litakuwa janga sasa
Lakin ana zeeka kweli naye japo juz tu alitimiza miaka 27
nimewaza pia!huyu wema mbona kawa hivyo ata wanaosema anatumia madawa inawezekana ikawa kweli
bora angevuta bhangi!Nasikia anakula mjani siku hizi, a.k.a mmea wa taifa
Mweeh, huyu kapotea aiseeebora angevuta bhangi!
anachotumia ni lethal zaidi!
acha tu ngada kitu kingine na anayemmaliza kumpa ngada ni yule anaejiita tajiri wa rohonimewaza pia!
ngada ngada tu!
hata kama la brazil sijui wapi kitu paaap!
video haina edit hiyo,imetoka clear kabisa!
kweli jamani?wanayaita et madawa ya kulevya
HahahahaaaaaaaaaaaaDah, jamaa kala kona ya hatari kama anawahi toileti kulihudumia tumbo la kuhara
teh teh teh mkuu nasikia na wewe ndio zako ukiona kimdada kisichojielewa elewa kimekuganda.Hahahahaaaaaaaaaaaa
inavyosemekana!kweli jamani?
28 mkuukila siku miaka yake inasimama apo apo kwenye 27 haiongezekagi [emoji16]
kumbe ameshaongeza mmoja28 mkuu
Madawa gani mkuu yale yanayotolewa bure hospitalini?huyu wema mbona kawa hivyo ata wanaosema anatumia madawa inawezekana ikawa kweli
Trekta la kijiji hilo, mafuta yako tu.Atulie sasa kwa anae fuata
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.