Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Your browser is not able to display this video.


🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
 
Nani aliwadanganya kuwa wakiwa na matako makubwa ndio wanakuwa wazuri na watamu?
 
Baada ya dhiki faraja. No Gain without Pain

Wanaume tunaowacheka baadaye ndio wateja wao, tutarudisha gharama za surgery na maumivu kwa kuhonga ovyo ovyo kisa wana makalio bandia. Huo ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…