dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Meli ya Magic Seas iliyokuwa ikielekea Israel kupitia Bahari Nyekundu, ilitekwa mapema siku ya Jumapili, kisha kushambuliwa na mabomu/makombora mpaka kuzama
Hii ni meli ya kwanza kushambuliwa kati ya meli 5 ambazo zilipigwa na makombora ya balistiki, drones za baharini, boti za haraka zinazoendeshwa na rimoti zilizopakiza vilipukizi pamoja na mabomu ya RPG na kuzamishwa, mashambulizi yaliyoanza tokea Jumapili 06/07/2025
Mashambulio hayo mapya ya Houth wakisema ni kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina huko Gaza wameeleza yataendelea mpaka pale Israel itakaposimamisha vita
Source: Al Jazeera