Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Kijana wa Kikenya amelitia Taifa hilo katika aibu baada ya kukwapua simu mbili za watasha waliokuwa wakipiga stori sogozi kwenye mgahawa. Kijana huyo aliyeingia ndani ya eneo hilo akiwa anaongea na simu na kwenda kukaa karibu na watasha hao lakini ghafla alikwapua simu hizo na kufanikiwa kukimbia.