Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.
Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface.
Alivutia sana watalii pale masaai mara. Alikufa kifo cha asilia bila ya kuuliwa au kushindwa katika mapigano.