Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Your browser is not able to display this video.

Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.

Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface.

Alivutia sana watalii pale masaai mara. Alikufa kifo cha asilia bila ya kuuliwa au kushindwa katika mapigano.
 
Kumbe kadanja zamani!
 
Fighter ameondoka

Nina hakika nyama za Mbogo zimeliwa sana pia

Maana Mbogo haliwi na wavivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…