Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia.

Your browser is not able to display this video.


Ungechukua uamuzi gani?

πŸ“Ή HabariMtandaoni
 
Bila shaka ni igizo hilo, hata aina ya upigaji ni wa kuigiziana
 
Ni mama ndio alianza kumpiga so ningeamulia tu kisha nikakaa pembeni

Nadhani mama hana haki kumpiga mke wa mtoto wake, so alipata alichokitaka
 
Mimi katika scenario Kama hiyo lazima tubadilishane majengo ya serikali πŸ˜…
 
Singehudhuria mazishi yake maana ningekua jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…