Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaona kumsaidia kumtwisha ndoo ya maji ni huruma, una matatizo kwenye akili yakoWakuu
Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tukio hilo lilitokea wakati Bashungwa alipokuwa katika pita pita zake, ambapo alikutana na watoto wakichota maji. Akiwa anawaongelesha kwa lugha yao, alijitolea kumsaidia mmoja wao kwa kumtwisha dumu hilo kichwani.
Je, ni mbinu kuelekea Uchaguzi?
Mtu timamu huwezi kumtwisha dumu hilo lililojaa maji mtoto mdogo kama huyo!Wakuu
Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tukio hilo lilitokea wakati Bashungwa alipokuwa katika pita pita zake, ambapo alikutana na watoto wakichota maji. Akiwa anawaongelesha kwa lugha yao, alijitolea kumsaidia mmoja wao kwa kumtwisha dumu hilo kichwani.
Je, ni mbinu kuelekea Uchaguzi?
Duh hiyo sheli Iko sehemu Gani nikajaze mafuta??Huyo jamaa ni attention seeker na asitegemee kupata positive energy kutokana na hizo tabia za kuwachukua watu video
Anaigiza utu angekuwa Ana utu asingemjemgea mchipuko sheli na kuwaacha wananchi wanakunywa maji machafu siangejenga hata kisima cha maji.
Ile sheli aliyomjengea mchipuko is a lot of money na hela zote anatoa serikalini