Pre GE2025 Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!

Pre GE2025 Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu

Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula na wananchi wa hali ya chini, maana watanzania wote tunajua hapo ndio sehemu yake anayoenda kula kila siku.

Pia nimpongeze Rais Samia kwa kutupa huyu Waziri mchapakazi ambaye migahawa kama hii huwa anaiona kipindi ambacho kampeni za ubunge zinakaribia tu. Huo ni uzalendo wa kweli.

Kama wananchi tunapenda viongozi wanaojali maslahi ya wananchi kama hivi, especially kipindi hiki uchaguzi ukiwa unakaribia.

CCM Mitano tena!

 
Nomah sana!

20250124_201540.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom