Video is out now: king's music - Rhumba

Video is out now: king's music - Rhumba

Hamna kitu hapa bora nyimbo zilizotangulia bora wcb wenzao wakitoa nyimbo wakiona haifany vizuri hawafany video wanaipotezea
 
Baby tucheze rhumba kidogooo(Kwa sauti ya puani)Machalii wanabana pua kinyama asee.!hasa Cheed na Kituga ambae anaimba kama kiba,,alaf kwenye Chorus wangemuweka Mbana pua Cheed au Ki2ga sio Abdu Kiba.
 
Sijaiangalia ila nafikiria ni mbaya sana kama gubu La kibamia
 
Back
Top Bottom