Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole.
Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli?
Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi ni dhaifu kwa yanga? Au hawa viongozi hawaoni umuhimu wa derby Kama wazee wetu walivyokua wanaichukulia hii derby?...
Huu ni msimu yanga anaenda kua un beaten tena maana simba hawajielewi na hawako serious, una shida na namba sita unaenda kumchukua akpan kweli?
Unaacha kusajili wachezaji unatuletea magarasa ambayo hata Mimi nayazidi? Unamtoa kagere unamleta kyombo ambae hajawai kufikisha magoli 6 ndio acheze namba yake?.
Hivi kweli mzamiru ni mchezaji?
Itabidi Nikae pembeni kwa muda kufatilia hizi timu nijikite kwenye sala.
Hivi wana deportivo la utopolo mliwezaje kuvumilia miaka 4 hivi?