Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

Thimba

.........Mlete Mthungu! mlete mthungu! mlete mthungu!

Tabu ipo palepale.
 
Mkiambiwa mashabiki wa Simba ni wapumbavu mtakataa?, Yaani unaingia mkata wa 26+B + 20B za Mo afu mnashindwa kumsajil manzoki Kwa kuvunja mkataba wa vi 400M😂😂.

Upumbavu wenu ni nini?

Unashangilia mkataba wa 26B Kwa kuoneshwa jezi!!?

unashangilia 20B hewa za Mo ambazo hazipo!!!?

unachanga Hela ya kujenga uwanja mpaka Leo hujui uwanja upo hatua gani!!?

mnaletewa wachezaji lonya lonya kama Dejan, kiyombo afu mnashingilia na mkaba wenu wa 26 hivi n wenu au ni wa Mudi? Nasikia pesa zishaingia kwenye account ya Mo foundation??😀😂
 
Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole.

Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli?

Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi ni dhaifu kwa yanga? Au hawa viongozi hawaoni umuhimu wa derby Kama wazee wetu walivyokua wanaichukulia hii derby?...

Huu ni msimu yanga anaenda kua un beaten tena maana simba hawajielewi na hawako serious, una shida na namba sita unaenda kumchukua akpan kweli?

Unaacha kusajili wachezaji unatuletea magarasa ambayo hata Mimi nayazidi? Unamtoa kagere unamleta kyombo ambae hajawai kufikisha magoli 6 ndio acheze namba yake?.

Hivi kweli mzamiru ni mchezaji?

Itabidi Nikae pembeni kwa muda kufatilia hizi timu nijikite kwenye sala.

Hivi wana deportivo la utopolo mliwezaje kuvumilia miaka 4 hivi?

View attachment 2323495
Lakini nakumbuka Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Simba Sport Club walisema kuifunga Yanga sio kipaumbele chao bali kipaumbele chao ni kubeba Kombe la Ubingwa wa Vilabu vya Afrika. Au wamebadili gia angani?
 
Back
Top Bottom