GE2025 Video: Jerry Muro anaonekana hayupo sawa. Ameanza kuongea mwenyewe na afya yake ina mashaka sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jamani nimeitizama hii video ya Jerry Muro hadi machozi yakatoka! Anaonesha kabisa hayupo sawa na anahitaji msaada wa haraka mnoo

Video inamuonyesha akiwa kwenye mkutano wa kampeni ya mgombea urais wa CCM halafu cha kushangaza amesimama kwa wanazengo wengi kama vile yeye ajawahi kuwa kiongozi wa katika nchi.

Lakini anaonyesha kupiga zake kama hesabu hivi huku sura yake ikiwa haina tabasamu na mwili wake ukiwa dhoofu lakini pia dalili zinaonyesha anashida ya kiafya

Mimi ni miongoni mwa viongozi nilitokea kuwakubali sana Ni Jerry Muro. Imeniuma sana kumuona akiwa katika hali hii

Tumuwahi mapema kabla atujampoteza!

Angeoa na kuwa na familia huenda ingemsaidia kumbadilisha
 
Back
Top Bottom