GE2025 Video: Jerry Muro anaonekana hayupo sawa. Ameanza kuongea mwenyewe na afya yake ina mashaka sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Muuaji na mtekaji Jerry Muro. Muda si mrefu Samia ataanza kuongea mwenyewe kama mwendawazimu.Mnamuonea huruma wa nini? Damu za watanganyika zinamdai.....Kutoa uhai wa mtu siyo mchezo.
 
Likely diabetes imepanda sana.
Sudo apt install pressure
cd pressure
python3 kill Jerry.py
 
Husije kuta anaitika kwenye nguvu za giza by Polepole
 
Safi sana nasikia na Haji Manara naye karukwa na akili hadi amefungwa kamba dadeq !
 
Ni hali ambayo wanasiasa wengu mafedhuli wanaipitia kwanzia kwa huyo bibi wa mv magogoni hamuoni anachapia majuukwaani sana mafisadi wote ,mafedhuli wote waliondoa waongeaji wakijua itakua piece of cake ila imekua chungu kumeza ,ngumu kutafuna jana mliona rangi ya huyo rc wenu wa dzm mkasema amejichubua hali ni mbaya upande wao hawajui washike jipi waachie nini ......freedom is coming tulipo gusa tusiachie
 
Kwa vile sikuona video hiyo, siwezi kucomment ingawa nimecomment.
 
Siasa ina ukatili mkubwa sana. Ndio kisha jichanganya....... Avumilie tu... Atapewa teuzi.
 
Nimeona clip inatambaa kwa kasi sana ikimuonyesha Jery Muro akiwa kwenye hali fadhaa...huenda picha hii ni kutengeneza au lah...lakini imenifikirisha sana

 
Kurjuan hiyo m'amae !
 
Wenye matatizo kwenye hii nchi ni wengi why jeli muro ana nini cha maana acheni upumbavu
 
Ujinga tu unamsumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…