Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu.

Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa waandishi wa habari, helikopta hiyo ya New York Helicopters ilikuwa imekodishwa na ilikuwa na rubani, watu wazima wawili na watoto watatu wakati ilipoanguka karibu na eneo la Lower Manhattan, Alhamisi mchana.

Marehemu ni Agustin Escobar, mtendaji kutoka kampuni ya teknolojia ya Ulaya, Siemens, mke wake Merce Camprubi Montal, pamoja na watoto wao wenye umri wa miaka 4, 5 na 11. Rubani wa helikopta hiyo mwenye umri wa miaka 36 pia alifariki dunia, kwa mujibu wa vyanzo vya usalama vilivyozungumza na ABC News.

Video tazama 👇

View: https://web.facebook.com/reel/1900670147404090
 
Hili dude limeshauwa watu wengi sana muhimu naliogopa sana
1.filikujombe
2.boss wa leicester city fc
3.kobe bryant
4.magufuri lilimkosa
5.kuna video niliiona yawanandoa,siku ya harus likawapiga chini na likawaka moto
 
6. John Garang
7. Mkuu wa majeshi ya Kenya
8. Mike(Lazima kuna mtu anaitwa Mike amewahi kufa kwenye ajali ya Helicopter)
 
Hell-capture haya yanaongoza kwa vifo hasa vya watu maarufu (of course ndio wanaweza ku afford hell-capture si kajambanani labda wakati wa kuokolewa kwenye mafuriko ndio utabebwa humo)
Kifo Cha Kobe kilinisikitisha zaidi maana wakati huo nilikuwa state of California
 
Lakini pia nafikiri ajali nyingine huwa zimepangwa na watesi wa walengwa 😳 🙄
 
1744607609844.png
 
Back
Top Bottom