6. Professor George Saitoti na Naibu wake Orwa OjodeHili dude limeshauwa watu wengi sana muhimu naliogopa sana
1.filikujombe
2.boss wa leicester city fc
3.kobe bryant
4.magufuri lilimkosa
5.kuna video niliiona yawanandoa,siku ya harus likawapiga chini na likawaka moto
Hili dude limeshauwa watu wengi sana muhimu naliogopa sana
1.filikujombe
2.boss wa leicester city fc
3.kobe bryant
4.magufuri lilimkosa
5.kuna video niliiona yawanandoa,siku ya harus likawapiga chini na likawaka moto
6. John GarangHili dude limeshauwa watu wengi sana muhimu naliogopa sana
1.filikujombe
2.boss wa leicester city fc
3.kobe bryant
4.magufuri lilimkosa
5.kuna video niliiona yawanandoa,siku ya harus likawapiga chini na likawaka moto
9. Mwandishi wa habari wa rais Mwinyi6. John Garang
7. Mkuu wa majeshi ya Kenya
8. Mike(Lazima kuna mtu anaitwa Mike amewahi kufa kwenye ajali ya Helicopter)
Lakini pia nafikiri ajali nyingine huwa zimepangwa na watesi wa walengwa π³ πHell-capture haya yanaongoza kwa vifo hasa vya watu maarufu (of course ndio wanaweza ku afford hell-capture si kajambanani labda wakati wa kuokolewa kwenye mafuriko ndio utabebwa humo)
Kifo Cha Kobe kilinisikitisha zaidi maana wakati huo nilikuwa state of California
Yah ni kweli kabisaLakini pia nafikiri ajali nyingine huwa zimepangwa na watesi wa walengwa π³ π
Ama kweli Kifo ni siri ya Muumba mwenyewe.