- Feb 10, 2006
- 4,557
- 16,949
Asante sana kiongozi.Maxence Melo,
Shukrani sana wewe pamoja na team nzima ya JF kwa ufafanuzi murua.
Kwa ili darsa mpaka mtu mwenye class ya chini kabisa ataelewa jinsi ya kutumia JF mpya.
Ahsanta...
yaani wanakera sana hao mkuu.... Unakuta mtu kaquote thread ndeefu alafu kajibu maneno mawiliNdugu Maxence kuna njia mods ninaweza kucontrol wale wanao quote thread nzima ambazo sometime huwa kubwa na sisi tunaotumia simu ni mtihani! Ktk pc mmecontrol lkn vipi kwa watumiaji wa simu? Wanatutesa jamaa hawa wanao quote
Jaribu kupitia tena hiyo video kaeleza hii kituuNdugu Maxence kuna njia mods ninaweza kucontrol wale wanao quote thread nzima ambazo sometime huwa kubwa na sisi tunaotumia simu ni mtihani! Ktk pc mmecontrol lkn vipi kwa watumiaji wa simu? Wanatutesa jamaa hawa wanao quote