VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Naomba kijua jinsi ya kupm mtu yaani inbox

Capture.JPG


Kwa kuwa unatumia PC / Browser juu kabisa kwenye top bar kulia kwako kuna options hizo tatu hapo juu nimeweka {Kwenye Cookie kutakuwa na Zebest}

Bonyeza kwenye inbox, chini kabisa kulia utaona Start a new conversation {Bonyeza hapo}

Kwenye Recipients andika ID ya mtu unayetaka kumtumia msg

Chini yake andika title ya message yako

Chini yake andika msg yako

Ukimaliza bonyeza Start conversation

*Njia nyingine weka cursor yako kwenye ID ya mtu unayateka kumtumia msg, itakachotokea chagua Start conversation, andika title ya msg, andika msg yako, mwisho bonyeza Start Conversation
 
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:

​


Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.

​


Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules

asante
😷
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom