Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha baraza hilo kinachotarajia kufanyika ukumbini hapo.
Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani na Joseph Haule maarufu Profesa Jay aliyekuwa Mbunge wa Mikumi tayari wamewasili kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu Chadema.
Katika ukumbi huo meza za mbele zitatumiwa na wajumbe wa Kamati Kuu na sekretarieti ya chama hicho pamoja na wageni waalikwa wa mkutano huo.
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha baraza hilo kinachotarajia kufanyika ukumbini hapo.
Daaah mshkaji bado hajarecover vyema... Tuzidi kumuombea kwa Mungu akae sawa. Ila nilidhani kwa sasa angekaa pembeni kabisa na shughuli za kisiasa zenye depression kubwa. Unless hawa wagombea kuna mmoja ana nufaika nae personally. Ila angepumzika...