Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha baraza hilo kinachotarajia kufanyika ukumbini hapo.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani na Joseph Haule maarufu Profesa Jay aliyekuwa Mbunge wa Mikumi tayari wamewasili kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu Chadema.
Katika ukumbi huo meza za mbele zitatumiwa na wajumbe wa Kamati Kuu na sekretarieti ya chama hicho pamoja na wageni waalikwa wa mkutano huo.
Soma, Pia:
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
- Joseph Haule (Prof. Jay) awaomba wananchi Kisanga kuichagua CHADEMA ili kuweka msingi mzuri kwaajili ya uchaguzi wa Rais 2025