VIDEO: Jubilee trying to change the law under water Cord. MPs Take a stand

VIDEO: Jubilee trying to change the law under water Cord. MPs Take a stand

C'mon Gitima!
Kwani where has Sam mentioned a tribe in his above comment? Unakurupuka instead of kusoma his comment kwanza with an open mind! Sam hasnt talked about tribalism here, wewe ndio umeintroduce this issue of tribalism into discussion.
Kwani si from your name alone, anyone can deduce that u are hailing from Central Kenya. And what wrong with that?

Everything Sam has written above is the widespread opinion of the majority of Kenyans in the other regions in Kenya. That Central Kenya region is more hugely economically advantaged on account of the widespread infrastructural in that region.
But u know what Mr. Gitimu, u dint have loose your cool over that. You istead should have instead stylishly countered Sam's arguments by pointing out that the previous two regimes regimes have endeavored to uniformize economic opportunities accross the nation thru infrastructural development and the various economic stimulous programme initiatives.
Good roads are been built all over the country, airporps, in in the regions hitherto marginalized, reliable communications services, increased power connectivity........PNU and Jubilee wamejaribu sana enyewe to even out access to economic opportunities for all.

The exact thing Obama told them, to equalize development else where bure, ugaidi unawahusu.
Tazama Nigeria leo hii, tena nikutaarifu tu magaidi hupenda sehemu zilizoachwa nyuma kimaendeleo, huwa ni rahisi kuwa fitini umma wakaazi wa sehem kama hizi kwamba serikali imewatenga na hawana lao kwenye miungano(arrangements/countries)kama hizi ila tu kuupigania uhuru wao.
Terrorism matters my friend.....Even the trend says so, and such grows into powerful groups which brings downs countries eventually.
Nigeria has since started developing its neglected NORTH and this is the same secret SUPER POWER/WORLD LEADER and other leaders told the "tribal" president/leader.
It's good he has since been working on it while improving security at the same time thus buying the loyalty of marginalized citizens on the fringes at these borders back towards the "center".

Just my thoughts!
 
Okay mzee!

Ukiambiwa ukweli una catch!!

What do you want me now to say am team Jubilee so that you think you are suddenly "dealing" with an -utotoless-person!...nikiwa section ya Raila nina utoto nikiingia upande wa JP suddenly mimi ni "modo wa nyoba"

FOH

the image below explains you perfectly

View attachment 449085
Mkuu nimeona leo kwenye Azam,Jubilee wamepitisha sheria ya kuhesabu kura kwa mikono,nini maoni yako kwa hilo nimeona cord wengi wanalalamika kuwa njia ya kupigwa bao la kisigino
 
Mkuu nimeona leo kwenye Azam,Jubilee wamepitisha sheria ya kuhesabu kura kwa mikono,nini maoni yako kwa hilo nimeona cord wengi wanalalamika kuwa njia ya kupigwa bao la kisigino
Upinzani unapotosha watu kuhusu sheria hiyo.

Haimaanishi kuwa kira itahesabiwa kwa mikono, ila kwamba iwapo zile electronic gadgets zitagail kama wakati uliopita, basi mfumo wa manual counting utatumika.

It only serves as a back up. Lakini electronic voting bado ndiyo main.
 
Wasiwasi wa upinzani ni kuwa electronic gadgets zitafelishwa makusudi ili kura zihesabiwe kwa mikono,hapo ndipo watu watapigwa changa la macho.
Kwani katiba yenu inasemaje kuhusu vote counting
 
The exact thing Obama told them, to equalize development else where bure, ugaidi unawahusu.
Tazama Nigeria leo hii, tena nikutaarifu tu magaidi hupenda sehemu zilizoachwa nyuma kimaendeleo, huwa ni rahisi kuwa fitini umma wakaazi wa sehem kama hizi kwamba serikali imewatenga na hawana lao kwenye miungano(arrangements/countries)kama hizi ila tu kuupigania uhuru wao.
Terrorism matters my friend.....Even the trend says so, and such grows into powerful groups which brings downs countries eventually.
Nigeria has since started developing its neglected NORTH and this is the same secret SUPER POWER/WORLD LEADER and other leaders told the "tribal" president/leader.
It's good he has since been working on it while improving security at the same time thus buying the loyalty of marginalized citizens on the fringes at these borders back towards the "center".

Just my thoughts!
UK si aligawa 500,000 tiltle deeds kwa squatters wa Mombasa,kuwapooza baada ya baba yake kupora ardhi yote ya mombasa
 
Mkuu nimeona leo kwenye Azam,Jubilee wamepitisha sheria ya kuhesabu kura kwa mikono,nini maoni yako kwa hilo nimeona cord wengi wanalalamika kuwa njia ya kupigwa bao la kisigino
Hyo ni Unfair Kabisa lakini we can do nothing but hope That

If Raila is to win He must win with Land slide Votes hapo atawaweza otherwise its Really sad

The bill passed parliament
Went to the President who signed it into a law in the presence of a speaker- Justin Muturi
Majority Leader - Aden Duale
Minority Leader

And it immesiately Became law it was just waiting to be Gazzeted

This is wen Jubilee noticed
It wont work for them and the only way to change that was to introduce a whole Paragraph to the law that incase the BVR KITS fail a Back up system will be set up to reproduce a voters list .....this are ghost votes

Considering Uhuru Kenyatta Avoided losing 2013 elections by 8000 votes thus avoiding a runoff

What will happen this time if Uhuru requires just 2000 votes to become president??

200 mps will tell 10 people in each constitutency to Go and Fake "ghost" voters and vote and just like that an election is stolen yet again

Considering what we saw in
Malindi by election Forgive me if indont think Jubilee mps will play Fair

In malindi Nairobi based jubilee mps were openly giving people money and confisicating their ID cards ama mumesahau hyo???

Forgive me but Call Raila whatever you want But he does EVERYTHING BY THE BOOK and By the people

That is why i strongly oppose Todays law ammendment!!!

Take it or leave it!
 
Wasiwasi wa upinzani ni kuwa electronic gadgets zitafelishwa makusudi ili kura zihesabiwe kwa mikono,hapo ndipo watu watapigwa changa la macho.
Kwani katiba yenu inasemaje kuhusu vote counting
True like in 2013:

Mashine nchi mzima zilifeli

Alafu IEBC inatoa Vijisababu eti Hakukuwa na Betri na stima

Next year utaskia asilimia sabinibya mashine nchi nzima zilifeli ....na hvyo tu ...Kura zitaanza kuibwa !!!

Alafu Raila atasema haamini matokeo alafu vita vianze God forbid!!

Mashine Hazikufeli Ghana , Nigeria hata SA

FYI: IEBC IS AFRICAS MOST WELL ALLOCATED ELECTORAL BOARD IEBC INAPEWA PESA MINGI KULIKO ELECTROL BOARD YA NCHI NYINGINE AFRICA KILA MWAKA YAPEWA 42BN kshs

Mbona basi Kufeli inakuwa Option??????

Besides this govt prides itself as a digital govt with 97% electric connectivity to all govt and learning institution and Besides Do we all remember Free laptops and High internet availability in all schools?

Meaning all Primary schools have electricity and interne connection

Or

Do They???
 
My instincts zinaniambia UK anakwenda na maji sijui kwa nini
 
Wasiwasi wa upinzani ni kuwa electronic gadgets zitafelishwa makusudi ili kura zihesabiwe kwa mikono,hapo ndipo watu watapigwa changa la macho.
Kwani katiba yenu inasemaje kuhusu vote counting
Vote counting yafaa watu wa upinzani , wa chama iliyo madarakani , na independent party wawe hapo personally shida sio kuesabu

Baada ya kuesabu, kama mfumo wa digitali umefeli basi itabidii kura ziwasilishwe Nairobi Kwa Mkono!!

Anyone can be Bribed along the way to change the outcome entire polling stations can be bribed

Wanasiasa kenya humwaga pesa kubwa kwa kampeni zao

Sasa wewe nikuulize kama
Askari aliye kwa Border ya Kenya na Somalia anapewa na Alshabaab shillingi 50000 kuangalia Kando

What will be different if a politician Pays an entire polling station 1m To look the other way????

Honestly nipee jibu hapo!!

If you can allow an alshabaab agent into kenya to kill people for 500$

What will make you suddenly refuse to take 10000$ to assume so and so did not win??

I want to vote and my vote immediately be relayed to Nairobi Sio izubae polling station kutoka asubuhi jioni kura yangu imebadilika

Hapana!!
 
Vote counting yafaa watubwa upinzani , wa chama iliyo madarakani , na independent party wawe hapo personally shida sio kuesabu

Baada ya kuesabu kama mfumo wa digitali umefeli basi itabidii kura ziwasilishwe Nairobi Kwa Mkono!!

Anyone can be Bribed along the way to change the outcome entire polling stations can be bribed

Wanasiasa kenya humwaga pesa kubwa kwa kampeni zao

Sasa wewe nikuulize kama

Askari aliye kwa Border ya Kenya na Somalia anapewa na Alshabaab shillingi 50000 kuangalia Kando

What will be different if a politician Pays an entire polling station 1m To look the other way????

Honestly nipee jibu hapo!!

If you can allow an alshabaab agent into kenya to kill people for 500$

What will make you suddenly refuse to take 10000$ to assume so and so did not win??

I want to vote and my vote immediately be relayed to Nairobi Sio izubae polling station kutoka asubuhi jioni kura yangu imebadilika

Hapana!!
Huo Mtihani
Basi wangeogeza kipengele cha vote counting kwenye polling station mbele ya wawakilishi wa vyama,kusafirisha votes bila kuhesabu haikubaliki popote,UK anataka kuharibu nchi sasa
 
My instincts zinaniambia UK anakwenda na maji sijui kwa nini
Kabisaa

Kila wakati Sheria Haiendi njia yao wanaongeza ka kurasa ndani Ya sheria ili iwafae

Kumbuka Teachers strike??
The govt in 1998 sat down with Teacher ikasema 300% increase in salary

In 2014 walimu wakaanza kusema wanataka pesa zao

Serikali ika wapeleka kortini

Walimu wakapata ushindi dhidi ya Serikali Kortini

Serikali baadaye ikakataa kabisa kuwaongeza pesa mpaka wakati huu

Madaktari pia .....

Hawataki kufwata sheria kimaksudi juu wanajua wana Majority Kwa parliament Wata badilisha sheria Kila pande ambayo haiwafai

Ona sasa Leo hii wamelazimisha Kurasa kwa sheria ilioamuliwa ibakie hvo!!!!

Alafu wakenya wanao ona haya nakuikashifu wanaambiwa hao ni Fanatics wa Raila Odinga....

Hawana any other Weapon Yao kila kona Ni kuingilia Raila

Unakumbuka ile Ya maji muranga mwezi ulio pita

Upinzani uligundua Serikali ya jenga Underground Water system bila kuwaambia watubwa Central Kenya (uhurus stronghold)

Serikali initially ikapinga hayo madai baada ya kuona kwamba wame banwa wakaamua kubadilisha story eti Its True but Raila should not Get involved in Central Kenya issues .. .EVEN WHEN Raila is openly HELPING THEM BADO WANA KA CHUKI KASIO ELEWEKA TOWARDS HIM MPAKA UNASHANGAA THE LEVEL OF PETTYNESS
 
True like in 2013:

Mashine nchi mzima zilifeli

Alafu IEBC inatoa Vijisababu eti Hakukuwa na Betri na stima

Next year utaskia asilimia sabinibya mashine nchi nzima zilifeli ....na hvyo tu ...Kura zitaanza kuibwa !!!

Alafu Raila atasema haamini matokeo alafu vita vianze God forbid!!

Mashine Hazikufeli Ghana , Nigeria hata SA

FYI: IEBC IS AFRICAS MOST WELL ALLOCATED ELECTORAL BOARD IEBC INAPEWA PESA MINGI KULIKO ELECTROL BOARD YA NCHI NYINGINE AFRICA KILA MWAKA YAPEWA 42BN kshs

Mbona basi Kufeli inakuwa Option??????

Besides this govt prides itself as a digital govt with 97% electric connectivity to all govt and learning institution and Besides Do we all remember Free laptops and High internet availability in all schools?

Meaning all Primary schools have electricity and interne connection

Or

Do They???

Hahaha
Kuna watu wamebeba petroli
Wanapita karibu na moto!!!

Wewe nimekuambia Nenda Burundi kwanza Nchi yako Uakikishe kuna amani ndio uje Kenya

MBUNGE wa Gatundu Kusini Bw Moses Kuria amedai kuwa ana ushahidi kuwa baadhi ya wandani wa kinara wa ODM Bw Raila Odinga wanashiriki mikutano na wahalifu wenye ujuzi wa kudukua kuhusu njia za kuiba kura za uchaguzi mkuu wa 2017.

Amesema kuwa kuna mwanasheria wa hadhi katika kundi la Bw Odinga ambaye ameshiriki mikutano kadhaa na madalali wa kimataifa kuhusu uhaini wa kimitambo na ambapo njama ni washirikishwe katika kuandaa mikakati ya kutatiza mitambo ya kieletroniki katika uchaguzi wa 2017.

“Ndiyo sababu wamekerwa sana na kubadilisha sheria zetu za uchaguzi ili kukumbatia analogi kama njia moja ya kushirikisha uchaguzi huo. Tulipobadilisha sheria hizo Alhamisi asubuhi, wafuasi wa Bw Odinga walijua kuwa njama yao imetibuliwa na kwa sasa hawana lingine ila tu kushiriki uchaguzi huru na wa haki,” akasema Moses Kuria.

Alisema kuwa kwa sasa “maandamano hayo ambayo wametishia kuzindua Januari 4, 2017 hayana umuhimu wowote na wanaweza wakayashiriki kwa miaka 10 mfululizo.”

Akasema: “Badala ya wajipange na waelewe kuwa njia yao ya wizi wa kura imefungwa na haifunguki hivi karibuni, wanatangaza kuwa wataandamana.
Wanaandamana hata kabla yao kutambua mgombea wao wa Urais.

Sisi tutaendelea mbele na uchaguzi mkuu wa 2017 na tutaushiriki Cord wakiwa ndani yake au nje yake.”
Alisema kuwa Cord ilikuwa imeelekeza matumaini yao ya ushindi kwa ukora wa kimitambo na ambao kwa sasa umevunjwa na bunge kupitia marekebisho hayo ya sheria za uchaguzi mnamo Alhamisi asubuhi.
Alisema kuwa ODM na Bw Odinga ndio wahifadhi wa “mamluki wa kimitambo kwa jina Michael Yard na ambaye amekuwa akifanya kazi katika makao makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)."

Huyo Bw Yard, kulingana na Kuria ndiye katika uchaguzi mkuu wa 2013 alikuwa amechokora mitambo ya IEBC kiasi kwamba kura zilizoharibika zilikuwa zikipeperushwa zikiwa zimeongezwa na njama ilikuwa ya Cord kuzuke upungufu wa kura halali ili awamu ya pili ya uchaguzi huo iandaliwe.

“Ili kuficha nia yake na washirika wake, Bw Odinga amekuwa akilia kila uchao kuna njama ya Jubilee ya kuiba kura.
Ukweli ni kuwa, yeye ndiye amekuwa akipanga njama hiyo akisaidiana na washirika wake wa ng’ambo na ambao wamekuwa wakimfadhili,” akasema.

Kumzima Raila

Bw Kuria alisema kuwa serikali bado itaendelea kumzima Bw Odinga kuafikia usaidizi huo wa hujuma.

“Tutamulika jinsi anavyopokezwa pesa zake za kampeni na anavyozitumia. Yeye ni Mkenya kama wengine na hayuko juu ya sheria.

Tutamumulika kiasi cha kumwacha uchi kabisa katika njama zake za kuhujumu usalama wa kitaifa kupitia njama za uchaguzi wa 2017.

Kwa sasa ako na habari kamili kuwa tunamuelewa kwa dhati na ameanza kubabaika.

Wacha aende kwa maandamano, tumemuzoea akiwa barabarani,” akasema
 
Back
Top Bottom