Huyu jamaa alikuwa m&se&&nge sana aisee. Sasa kiko wapi. Kawaacha wanakula ubwabwa kasepa na kiburi chake. Maninaa zake.Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu?
Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
View attachment 3436157
Smart Dude sikiliza nyodo za huyo mpuuzi uliyekuwa unamkingia kifua.Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu?
Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
View attachment 3436157
πππππkwani marehemu hawezi pewa viboko?