Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

Smart Dude sikiliza nyodo za huyo mpuuzi uliyekuwa unamkingia kifua.
Ndugai ndio kina polepole; ni walewale Mkuu. Hawa watu mimi siwezi kuwatetea.. nyakati zao walitamba sana na walionea sana... wanamnanga JK, lakini afadhali JK na wanamtandao wenzao wako civilized... waliweza hata kukubali wakishindwa ubunge na udiwani ... hawa kina ndugai, HP Wamejenga precedent mbaya sana ya siasa na kimsingi matatizo yote tuliyonayo sasa sio kwasababu ya SSH, JK au wanamtandao- ni matatizo yaliyoanza baada ya JPM kuwa Rais na watu wake waliodhani wao ni wazalendo kuliko kila mtu nchini....
 
Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…