Mr. SADC_TZ
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 105
- 22
Jamani Wakuu nilijua ya kuwa MPs wa Tanzania ndio pekee wenye kukosa nidhamu na adabu katika Bunge, Lakini hiki nilichokiona....Dah afadhali kwetu sisi Dodoma.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha wewe naona upo busy kuwapotezea Watanzania kule kwenye hoja za Escrow ili waje huku kuona vioja. Halafu tasemaje hii hapa ya Bongo.
Jamani Wakuu nilijua ya kuwa MPs wa Tanzania ndio pekee wenye kukosa nidhamu na adabu katika Bunge, Lakini hiki nilichokiona....Dah afadhali kwetu sisi Dodoma.
[h=1]Parliament sinks to new low as MPs fight with security officers[/h]Huyu ndio nani sasa.....huyo labda ni kiongozi wa dini ya kiislamu katika mihadhara ya mombasa alafu watu wa KDF wakaanza kumshambulia huyu kiongozi..kudhani ya kuwa wana preach chuki na mafundisho ya AL SHABABIANS.
Hayo mazingira hayasadifu mazingira ya BUNGE TAKATIFU la Tanzania.
Nenda youtube ukachimbe zaidi then ulete hapa tujue unahojaribu kusema..........!
non logical reply...!unaleta cartoonsss.....zisizo na reality! we kweli hamna kitu kichwani. Nikikuletea huyu jamaa wanamwitgaga Hon Mr SELFIE KENYATTA....na mshirika wake wa uvutaji WEED NA MIRAA walipokuwa huko abhu dhabi.
View attachment 206528
Usijaribu ku-deviate from the topic/uzi.....anyway tuendelee kama unavyotaka.....
A DRUNK KENYAN PRESIDENT ADDRESSING THE NATION.