Video: Kenyans scramble to buy cheap unga in a supermarket.

try telling this to a Bukhusu man in Kakamega or Shinyalu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bila shaka its insanity...Ugali is not even as nutritious as they seem to believe...anyway, I think they just see it as a food that will quench their hunger for the longest time possible...being a relatively low-earning country, we dont have the pleasure of eating all the time so they think mchele itaisha kwa tumbo in the middle of the night...also, many of these ppl have large families...cooking mchele in a family of 8 kids would be a travesty! downright absurd! atleast thats what they seem to think.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€haikosi unapenda kula...sijui nikualike Nairobi siku moja uje ujifurahishe..'siniseme!! kama napenda kula!'
Nialike mshikaji wangu,ila uniandalie muriski (sijui nimepatia),Managuu na ugali
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€haikosi unapenda kula...sijui nikualike Nairobi siku moja uje ujifurahishe..'siniseme!! kama napenda kula!'
Nimesikia Kenya hamjui kupika vizur[emoji16][emoji16]
 
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...
I agree with you , He may not be as clean as expected, but Uhuru is visionary and patriotic to his country,msidanyike mazee,chagua huyu jamaa
 
Naona wanatafuta sababu za kumchafua Uhuru...lkn atashinda tu
 

Acha uongo. Nyie ni Taifa la njaa. Hamna ngano wala mchele wa kutosha. Nyie ni wanjaa-njaa Jazzband
 
Aiseee!!!! Nairobi unga n shida ukienda supermarket


Hakuna ktu unapata ukiutaka
Urauke 6:00 asubuh ndo utapata tena ugaiwa na
Customers care kweny


Mashelf hakuna na
Na huwez pewa zaid ya
Mfuko mmoja wa 2kg


R.I.p uhuru nenda tu murang'a ukasambaze mazwa au kiambu ukaliwe
 
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...
Kikuyu n kikuyu tu bure sana

Uhuru n nn amewafanyia wananchi
Cha maana zaid ya kuuwa tu
Taifa kwa njaaaa
 
hiyo ni Uhuru anapigwa vita tu...mkidanganyika kuchagua kwa mihemko mtajuta,chagua Uhuru amalizzie SGR
Wakat huo hata unga wa 90
Unamshinda kuwafkishia wananchi
 
Thats why many Kenyans are fat, and out of shape, Ugali huwa na a lot of calories. But people can eat other things na walale
 
Uhuru Kenyatta asipochunga, hii ndio itampleka nyumbani come August ..nimeskia watu wakilalamika kuwa pakiti za unga zinapatikana kule Kikuyuni pekee yake...
Hahahahaa nyumbani kwanza mkuu. Lakini hao jubilee wanakosea sana hiki si kipindi cha wakenya kupata shida ya unga hasa ukifikiria ni chakula kikuu kwa wananchi. Wasipoangalia watapigwa chini NASA watatumia hii weakness kushinda.
 
dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


I can only donate 10 bags, siwezi kuuzia Kenyans ni ndugu zangu.
 


It's now about Watu wa Western. SMH
 


Mzungu aliwaletea Ugali ili muwe Wajinga, Ugali mnaokula huo mweupe hauna virutubisho vyovyote vile, kwa kifupi mnakula pumba tu, mpaka a Muzungu aje tena kuwaambia mle vyakula vingine!
 
Hahahahaa nyumbani kwanza mkuu. Lakini hao jubilee wanakosea sana hiki si kipindi cha wakenya kupata shida ya unga hasa ukifikiria ni chakula kikuu kwa wananchi. Wasipoangalia watapigwa chini NASA watatumia hii weakness kushinda.
Waafrika bhana, yaani utaacha kumchagua MTU kisa huna ugali wa kula! Au utamchagua MTU kisa kakupa unga wa ugali !!!kweliii????
Yesu rudi uokoe hii ngozi nyeusi ..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…