Video: Kenyans scramble to buy cheap unga in a supermarket.

Video: Kenyans scramble to buy cheap unga in a supermarket.

Mzungu aliwaletea Ugali ili muwe Wajinga, Ugali mnaokula huo mweupe hauna virutubisho vyovyote vile, kwa kifupi mnakula pumba tu, mpaka a Muzungu aje tena kuwaambia mle vyakula vingine!

Wewe mbona huwa una mahaba na wazungu kiasi hiki, sijui kipi walikutendea hadi uwapende kwa moyo wote kiasi kwamba lazima uwahusishe katika kila bango zako.

Ugali unapendwa Afrika, binafsi napenda sana kula ugali, haipiti siku bila mimi kutia saini kwenye huo mlo tuupendao, na ikipita nahisi ovyo.
Japo pia inategemea na asili ya mtu, kwa mfano Pwani za Kenya na Tanzania wao wamekita kwenye kula ubwabwa, lakini ukiingia mikoani Kenya na hata kwenu huko Kolominje kwa Wasukuma, ugali unaliwa kila siku.
Ugali unaliwa hadi Afrika Kusini ambapo wanaita 'phuthu', Botswana wanaita 'bogobe', nao Zimbabwe wanaita 'sadza'
Huu mlo unatumika kwenye matatifa mbali mbali japo wanatumia majina tofauti, hayo ni mataifa kama Zambia, Malawi, Mozambique, Namibia n.k.

Rais Uhuru awaze upya na ajipange, maana kama anataka kudumisha urais ahakikishe ugali tunaupata kiulaini bila mahangaiko. Hapa Raila atavizia na kama anajua kucheza game zake vizuri aongee kuhusu ugali na unga na kuahidi Wakenya watapata unga hadi wachoke wakati yeye akiwa rais.
 
Hehe UhuruTano tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Even my parents with all their hardship in their times Never did this!

Smh! Alafu utaona wakenya confused hapa wakisema Uhuruto Tena

Smh!!

Ruto Said Kenya made the most Harvest last year iko wapi?

Wajinga Ndio waliwao
 
Hmm! Nilikuwa najaribu kujiuliza, hivi hii habari ya njaa Kenya kwanini ije wakati huu wa uchaguzi? I can smell something fishy here...
 
Poleni sana
Na Bongo MZEE Magu kafunga kutoa chakula nje
Kazi mnayo
 
Kwanini chakula lazima kiwe tu ugali, si tujifunze kula vile vyakula vingine pia?
Kama life imekuwa hard bana, lazma tuadapt.

Viazi na nduma zimejaa hivi, rice na wheat, mtama, matoke na mhogo......tujaribuni kidiversify our diet tadadhali.
But catch me dead eating ugali wa wimbi/ mtama (dont know which one is which).

Watu wa western bana......tubadilikeni!!!!
Unaweza kula ugali mwaka mzima usibadili na life kwenda vizuri tu
Kuliko hivyo vyakula unavyo taja
 
Wewe mbona huwa una mahaba na wazungu kiasi hiki, sijui kipi walikutendea hadi uwapende kwa moyo wote kiasi kwamba lazima uwahusishe katika kila bango zako.

Ugali unapendwa Afrika, binafsi napenda sana kula ugali, haipiti siku bila mimi kutia saini kwenye huo mlo tuupendao, na ikipita nahisi ovyo.
Japo pia inategemea na asili ya mtu, kwa mfano Pwani za Kenya na Tanzania wao wamekita kwenye kula ubwabwa, lakini ukiingia mikoani Kenya na hata kwenu huko Kolominje kwa Wasukuma, ugali unaliwa kila siku.
Ugali unaliwa hadi Afrika Kusini ambapo wanaita 'phuthu', Botswana wanaita 'bogobe', nao Zimbabwe wanaita 'sadza'
Huu mlo unatumika kwenye matatifa mbali mbali japo wanatumia majina tofauti, hayo ni mataifa kama Zambia, Malawi, Mozambique, Namibia n.k.

Rais Uhuru awaze upya na ajipange, maana kama anataka kudumisha urais ahakikishe ugali tunaupata kiulaini bila mahangaiko. Hapa Raila atavizia na kama anajua kucheza game zake vizuri aongee kuhusu ugali na unga na kuahidi Wakenya watapata unga hadi wachoke wakati yeye akiwa rais.

Ugali wa Mahindi siyo asili ya Afrika, alileta Mzungu ktk the Americas, asili ya Afrika ni Mtama, Mihogo, n.k. kwanza Mahindi ni chakula cha Mifugo kwa Wazungu!
 
Ugali wa Mahindi siyo asili ya Afrika, alileta Mzungu ktk the Americas, asili ya Afrika ni Mtama, Mihogo, n.k. kwanza Mahindi ni chakula cha Mifugo kwa Wazungu!
Usidharau mahindi hivyo ati ni chakula cha mifugo uzunguni. Pia ni chakula cha binadamu, na wazungu pia hula vyakula vitokanavyo na mahindi: porridge, cornflakes (mostly for breakfast), cakes, fried meat and fish coated in corn flour, soup thickeners, corn syrup ( ni tamu kama sukari), beer, roasted corn nk.

Lakini nakubaliana na wewe ya kwamba hiki si asili ya waafrika, so are the most other foods, kama potatoes, yams, wheat, cassava, beans nk.
 
Wakat huo hata unga wa 90
Unamshinda kuwafkishia wananchi
Mambo kama haya hutokea katika siasa....ni mambo ya kupita,mchagueni Uhuru...ningekuwa Mkenya ningemchagua Uhuru
 
Waafrika bhana, yaani utaacha kumchagua MTU kisa huna ugali wa kula! Au utamchagua MTU kisa kakupa unga wa ugali !!!kweliii????
Yesu rudi uokoe hii ngozi nyeusi ..
Yesu akae huko huko kwanza mpaka waTIZII walipwe makinikia yao!!
 
Lkn siyo Ugali unaotokana na Unga mweupe, unajua kwamba huwo unga mweupe hupatikana vipi? Ni kwamba Mahindi huchukuliwa na kuwekwa kwenye mashine ambayo inaondoa kile kiini cha njano kilicho kwenye punje ya Muhindi, na hicho kiini ndicho kilichobeba virutubisho vyote kweye punje ya Muhindi, hivyo unga mweupe unaopatikana ambao ndiyo mnasongea ugali unakuwa hauna kile kiini cha njano na hivyo ni kama mnakula tu pumba, ndiyo maana Tanzania kuna watu wanakula Ugali unaojulikana kama Ugali wa Dona, ambapo Mahindi hayaondolewi kiini chake na Ugali huwa na rangi ya njano na siyo nyeupe!
Hata hizo cornflakes sijawahi kuona yenye rangu nyeupe, sasa kwa nini?

Huwo unga mweupe hata Panya hawezi kula, Panya huwa akila Mahindi anakula tu kile kiini cha njano halafu anaacha!

Hicho kiini cha njano huondolewa ili ule unga uwe na longer shelf life. Mahindi yakisagwa na kuwekwa kwenye pakiti, haiwezi kudumu kwa mda mrefu, kwasabu hiyo yellow part, kwa kimombo huitwa "germ", ina mafuta na unyevunyevu inayoweza kuozesha unga na kuifanya iwe sumu kwa binadamu. Hiyo sumu huitwa "aflatoxin", na ni hatari sana; huua.

Lakini hiyo sehemu nyeupe inaitwa "endosperm" ina virutubisho sawa tu na mchele ama hayo nafaka mengine. Lakini ni kweli ya kwamba mahindi yakiondolewa hicho kiini cha manjano, hupoteza virutubisho muhimu, lakini hilo kinafidiwa kwa kula mahindi na vyakula vingine vyenye virutubisho hivyo hivyo, kama nyama na mboga au maziwa.

The germ hutumiwa Kenya kutengeza mafuta ya kupikia na some food additives, hasa zile za keki.

Kwa hivyo, usidhani wakenya wanapoteza hivi virutubisho juu ya maize germ kuondolewa.

Ugali wa mahindi meupe hayawezi kuwa manjano hata kama kiini manjano kisipoondolewa, unless umetumia yale aina ya mahindi ya manjano ambayo hayakuwi vyema huku Kenya.
 
Wewe mbona huwa una mahaba na wazungu kiasi hiki, sijui kipi walikutendea hadi uwapende kwa moyo wote kiasi kwamba lazima uwahusishe katika kila bango zako.

Ugali unapendwa Afrika, binafsi napenda sana kula ugali, haipiti siku bila mimi kutia saini kwenye huo mlo tuupendao, na ikipita nahisi ovyo.
Japo pia inategemea na asili ya mtu, kwa mfano Pwani za Kenya na Tanzania wao wamekita kwenye kula ubwabwa, lakini ukiingia mikoani Kenya na hata kwenu huko Kolominje kwa Wasukuma, ugali unaliwa kila siku.
Ugali unaliwa hadi Afrika Kusini ambapo wanaita 'phuthu', Botswana wanaita 'bogobe', nao Zimbabwe wanaita 'sadza'
Huu mlo unatumika kwenye matatifa mbali mbali japo wanatumia majina tofauti, hayo ni mataifa kama Zambia, Malawi, Mozambique, Namibia n.k.

Rais Uhuru awaze upya na ajipange, maana kama anataka kudumisha urais ahakikishe ugali tunaupata kiulaini bila mahangaiko. Hapa Raila atavizia na kama anajua kucheza game zake vizuri aongee kuhusu ugali na unga na kuahidi Wakenya watapata unga hadi wachoke wakati yeye akiwa rais.

Wabantu na Wanailoti wote wanakula ugali, kwa ufupi Afrika nzima ukiondoa Kaskazini kwa Waarabu na pembe ya Afrika kwa Wasomali na Waethiopia.

Afrika Magharibi wanaita ugali majina kama fufu, mana na gari.
 
I was listeninf to this lady on BBC Focus on Africa, aliukizwa hiyo swali.....mchele na mgano yako kwa wingi tu, na bei ni ya nafuu kuliko ya unga mahindi kwa hivi sasa, mbona wasiyale hayo tu?

Her answer:

Noooo! We cannot just eat rice and chapatis. Nooo! Those are very light foods, they cannot fill our stomachs properly!
Hee basi kama ndo hivo watulie njaa iwashughulikie had wajifunze kula light food.
 
Back
Top Bottom