Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....

The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."

waangalie asije kuwa na re_group with vigor akawamaliza
 
Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....

The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."

Kukimbia vita uliyoianzisha ni sio aibu tu ni aibu na fedheha
 
Makombora ya Himars ya mmarekani yanawashikisha adabu wanaparamia hadi miti na bado watakiona cha mtema kuni

Mungu ibariki Marekani kwa kutoa msaada wa Himars Ukraine wa kuwashikisha adabu akina Putin wanaoanzisha vita za khunii kwenye Ulimwengu wa watu waliostaarabika wa sasa
 
Maana kuna askari mmoja wa Ukraine sema shida sasa kugundua kabeba Javelin au ni bora utoke nduki na kifaru chako.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na log off Z
Warusi wapo Kiev,

Zelensky mnaemuona ni feki

Urusi kamatiwa hapohapo dadaaa

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
walimuona kabeba javelin. sjui wengine wakaanza kuruka
runing for your life.
 
D
Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....

The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."

Dah aib kweli
 
Maana kuna askari mmoja wa Ukraine sema shida sasa kugundua kabeba Javelin au ni bora utoke nduki na kifaru chako.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na log off Z
Warusi wapo Kiev,

Zelensky mnaemuona ni feki

Urusi kamatiwa hapohapo dadaaa

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahaahahahha javeline sio kitu kizuri mkuu
 
walimuona kabeba javelin. sjui wengine wakaanza kuruka
runing for your life.
Javelin kombora la masafa mafupi tu made in Ukraine ,Ukraine home made hilo kombora local grown in Ukraine.,wakraine waliyatumia kushambulia vifaru vya mrusi alivyokuja navyovyo kuteka Kyiv mji mkuu wa Ukraine mwezi February 2022 alipianza vita bwege mrusi akijiamoni kuwa vifaru vyake ni kombora proof !!! Mashujaa wa vita Ukraine wakarushia makombora local made ya Javelin hadi maruhuni warusi. wakakimbia Kyiv mji mkuu wa Ukraine mrusi hakujua kuwa Ukraine wana makombora ya kubomoa vifaru!!! Alidhani mi vifaru yake Superior.!!

Wapiganaji shupavu wa Jeshi dogo shupavu la Ukraine wakamjia na Makombora yao home made, made in Ukraine ambayo kazi yao hayo.makombora moja tu kabomoa vifaru vya mrusi na kuwa majivu!! Ndio maana wanajeshi wa Kirusi wa Vifaru wakishtuliwa kuwa kuna Askari wa Ukraine karibu yao ana Javelin lazima watelekeze kifaru na kuvamia miti na kukimbia porini kama wehu sababu wanajua siku ya kiyama kwao imeshashika watake wasisitake wao ni marehemu ndani ya dakika.Shenzi zao.

kombora la Javelin hoyeeee
 
Javelin kombora la masafa mafupi tu made in Ukraine ,Ukraine home made hilo kombora local grown in Ukraine.,wakraine waliyatumia kushambulia vifaru vya mrusi alivyokuja navyovyo kuteka Kyiv mji mkuu wa Ukraine mwezi February 2022 alipianza vita bwege mrusi akijiamoni kuwa vifaru vyake ni kombora proof !!! Mashujaa wa vita Ukraine wakarushia makombora local made ya Javelin hadi maruhuni warusi. wakakimbia Kyiv mji mkuu wa Ukraine mrusi hakujua kuwa Ukraine wana makombora ya kubomoa vifaru!!! Alidhani mi vifaru yake Superior.!!

Wapiganaji shupavu wa Jeshi dogo shupavu la Ukraine wakamjia na Makombora yao home made, made in Ukraine ambayo kazi yao hayo.makombora moja tu kabomoa vifaru vya mrusi na kuwa majivu!! Ndio maana wanajeshi wa Kirusi wa Vifaru wakishtuliwa kuwa kuna Askari wa Ukraine karibu yao ana Javelin lazima watelekeze kifaru na kufunga miti na kukimbia porini kama wehu y sababu wanajua siku ya kiyama kwao imeshashika watake wasisitake wao ni marehemu ndani ya dakika.Shenzi zao.

kombora la Javelin hoyeeee
Oyeeeee
 
Actually mimi sijaona vifaru vya mrusi vikibomolewa; instead nimeshuhudia vikichomwa kama toilet paper na Javelin.
Usikute Put ametoa order jeshi lake liwe limetoka Ukrane ndani ya masaa 48, ili ateremshe mzigo wa nuke! Ndio mana jamaa wako mbio nyingi kujinusulu
 
Back
Top Bottom