waangalie asije kuwa na re_group with vigor akawamalizaHadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....
The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."
Kukimbia vita uliyoianzisha ni sio aibu tu ni aibu na fedhehaHadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....
The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."
... yule Fashisti hanaga akili.Kukimbia vita uliyoianzisha ni sio aibu tu ni aibu na fedheha
Maana kuna askari mmoja wa Ukraine sema shida sasa kugundua kabeba Javelin au ni bora utoke nduki na kifaru chako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na log off Z
Warusi wapo Kiev,
Zelensky mnaemuona ni feki
Urusi kamatiwa hapohapo dadaaa
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dah aib kweliHadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda.....
The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter page, an organization that hosts a website dedicated to arms and war news, was captioned: "Amazing video of a Russian T-72 fleeing Ukrainian troops, discarding men and then crashing into a tree."
Hahaahahahha javeline sio kitu kizuri mkuuMaana kuna askari mmoja wa Ukraine sema shida sasa kugundua kabeba Javelin au ni bora utoke nduki na kifaru chako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na log off Z
Warusi wapo Kiev,
Zelensky mnaemuona ni feki
Urusi kamatiwa hapohapo dadaaa
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aibu? Acha kabisa. Kila ukiwaona Wanajeshi 2 wa Ukraine Basi ujue mmoja ana Javerine au NLAW.Kwahiyo hao Wanajeshi walivyoona wamemiss target wakajua kinachofuata Ni Javerine inakuja Kugeuza kifaru kuwa mkaa,wakaona Bora wapigwe shaba kuliko Kugeuzwa majibu ndani ya kifaru.D
Dah aib kweli
Javelin kombora la masafa mafupi tu made in Ukraine ,Ukraine home made hilo kombora local grown in Ukraine.,wakraine waliyatumia kushambulia vifaru vya mrusi alivyokuja navyovyo kuteka Kyiv mji mkuu wa Ukraine mwezi February 2022 alipianza vita bwege mrusi akijiamoni kuwa vifaru vyake ni kombora proof !!! Mashujaa wa vita Ukraine wakarushia makombora local made ya Javelin hadi maruhuni warusi. wakakimbia Kyiv mji mkuu wa Ukraine mrusi hakujua kuwa Ukraine wana makombora ya kubomoa vifaru!!! Alidhani mi vifaru yake Superior.!!walimuona kabeba javelin. sjui wengine wakaanza kuruka
runing for your life.
OyeeeeeJavelin kombora la masafa mafupi tu made in Ukraine ,Ukraine home made hilo kombora local grown in Ukraine.,wakraine waliyatumia kushambulia vifaru vya mrusi alivyokuja navyovyo kuteka Kyiv mji mkuu wa Ukraine mwezi February 2022 alipianza vita bwege mrusi akijiamoni kuwa vifaru vyake ni kombora proof !!! Mashujaa wa vita Ukraine wakarushia makombora local made ya Javelin hadi maruhuni warusi. wakakimbia Kyiv mji mkuu wa Ukraine mrusi hakujua kuwa Ukraine wana makombora ya kubomoa vifaru!!! Alidhani mi vifaru yake Superior.!!
Wapiganaji shupavu wa Jeshi dogo shupavu la Ukraine wakamjia na Makombora yao home made, made in Ukraine ambayo kazi yao hayo.makombora moja tu kabomoa vifaru vya mrusi na kuwa majivu!! Ndio maana wanajeshi wa Kirusi wa Vifaru wakishtuliwa kuwa kuna Askari wa Ukraine karibu yao ana Javelin lazima watelekeze kifaru na kufunga miti na kukimbia porini kama wehu y sababu wanajua siku ya kiyama kwao imeshashika watake wasisitake wao ni marehemu ndani ya dakika.Shenzi zao.
kombora la Javelin hoyeeee
Actually mimi sijaona vifaru vya mrusi vikibomolewa; instead nimeshuhudia vikichomwa kama toilet paper na Javelin.... hakujua kuwa Ukraine wana makombora ya kubomoa vifaru!!! Alidhani mi vifaru yake Superior.!!
Usikute Put ametoa order jeshi lake liwe limetoka Ukrane ndani ya masaa 48, ili ateremshe mzigo wa nuke! Ndio mana jamaa wako mbio nyingi kujinusuluActually mimi sijaona vifaru vya mrusi vikibomolewa; instead nimeshuhudia vikichomwa kama toilet paper na Javelin.
... atajibiwa ipasavyo! Let the mad man try her madness.Usikute Put ametoa order jeshi lake liwe limetoka Ukrane ndani ya masaa 48, ili ateremshe mzigo wa nuke! Ndio mana jamaa wako mbio nyingi kujinusulu