Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

Actually mimi sijaona vifaru vya mrusi vikibomolewa; instead nimeshuhudia vikichomwa kama toilet paper na Javelin.
Javelim ni hatari mno

Ikirenga shabaha yake inakuwa hivi...

1. Inapga pale kwenye mlango wa kuingilia ndani ya kifaru, ikipiga inasababisha moto kuwaka.

2. Inakilipua kifaru completely, yaani inakipasua haswa, inakipasua kiasi kwamba kifaru hakiwezi kufanya lolote zaidi ya kubaki chuka chakavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…