Video: Kilichotokea Mwanyamala, pia kilitokea Mount Meru Hospitali. Waliouwawa ni wengi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa X:

"Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba"


Your browser is not able to display this video.
 
========================
“Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba”


Your browser is not able to display this video.
 
Hii haikubaliki. Samia must step down.
Uchunguzi huru ufanyike, waliohusika na huu ukatili wachukuliwe sheria.

Naanza kuwaza kwamba vyombo vyetu vya usalama nao waanze kupimwa akili kabla ya kuajiri watu wenye akili mbovu. Hawa waliotenda hivi wanashida ya akili.
 
Wanasema AI Kenge kabisa

Wana tapatapa. Angalia huyo alofunikwa na bendera kwenye video, anagalia soksi zake. Halafu angalia hii video ya alipopigwa barabarani.

Your browser is not able to display this video.
 
Zitavuja nyingi hadi Dec 9 tutazitumia kuwaadhibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…