Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210

Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae.

Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
 
Mjeshi wa bongo anaweza pasua hata boksi? Si ajabu hao makomandoo wako training kwa maana wanafunzi. Sipati picha wale makomandoo wenye uzoefu.

Salute kwake bwana Kim
 
Mjeshi wa bongo anaweza pasua hata boksi? Si ajabu hao makomandoo wako training kwa maana wanafunzi. Sipati picha wale makomandoo wenye uzoefu.

Salute kwake bwana Kim
Dah!...mbona hata makomandoo wetu hupasua matofali kwa kichwa au hujawahi kuwaona?

....ila Vita vya Sasa ni teknolojia zaidi haya ya kupasua matofali ni kuonyesha ukomavu tu.
 
Hivi siwezi pata nafas ya kuolewa na kim jong [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
View attachment 1975824

Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae.

Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.

Rules of engagement za commando wa bongo au affiliate wa Chadema yawezekana ni very strict.

Sipati picha Kingai au Mahita ni vipi wamevumiliwa tokea day 1.

Kwamba hata Lijenje wangali tu hawajamcheua?
 
Aisee
Vita vya siku hizi ni
Drones, Missiles
 
Back
Top Bottom