Dah!...mbona hata makomandoo wetu hupasua matofali kwa kichwa au hujawahi kuwaona?Mjeshi wa bongo anaweza pasua hata boksi? Si ajabu hao makomandoo wako training kwa maana wanafunzi. Sipati picha wale makomandoo wenye uzoefu.
Salute kwake bwana Kim
View attachment 1975824
Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae.
Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.